tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Tumejenga viwanda 3000 ndani ya miaka miwili,ccm woyeee awamu ya kutafuta kiki za kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aisee prof muhongo alikua mtu sahihi kwenye hii wizara.umeme ulifika mpaka vijijini.ni kweli alikua na mapungufu yake but maadamu tulipata umeme haina shida.wamrudishe tu hamna namna
Tumeingia kwenye janga hili sabb ya mihemko ya serikali hii. Ikumbukwe Songas walizima mitambo yao toka Mei 2016 baada ya bwana magogoni kutoa kauli za vitisho na hatimaye uongozi wa Tanesco kuogopa kuwalipa.Wakuu huu mgao wa umeme wa siri siri japo unaonekana kwa macho.. Nasema wa siri kwasababu huana maelezo ili watu tujipange kwa kununua ma generator.. Kwa mfano huku mbeya umeme ni kawaida kukatika sa mbili hasubuhi na kurudi sa tano usiku.. Ikumbukwe umeme kwa hii miaka ni muhimu sana kwa shughuli za viwanda vyetu vidogo vidogo kama saloon, welding n.k
Swali nnalo jiuliza ni nani wa kutumbuliwa kwa huu uzembe wa mgao wa umeme usio na kifani? Maana kama kutumbua kwenye sector ya umeme tumetumbua sanaaa hivi sahivi ni zamu ya nani!?
Na anayejua sababu ya umeme kukatika na huu mgao wa kutisha ni ipi?
nchi ya viwonder
Hii nikweli hata mimi nimeiona baada ya mhongo tu kuondoka katikakatika ya umeme bila mpango ikaanza.Yaani toka mkuu alipo mfukuza muhongo nishati na madini pamekuwa ni mapango ya wezi na wanyang’anyi
Nyani ngabu huku kwetu majanga matupu labda wewe unaishi jirani na baba JWamerudisha tena!
Nyani ngabu huku kwetu majanga matupu labda wewe unaishi jirani na baba J
Mh. Rais, turudishie Prof. Muhongo.
Hili linaitwa..........tayusi ya kufungia mwakaMagumagumagu bull shieeeteeery