Hivi kwanza hawa tanesco wapi humu kweli mbona hawajibu kero za watejawao humu
 
Huku Mbezi beach washakata tayari!!

Jana usiku pia walikata kuanzia saa 12 jioni hadi kwenye saa saba usiku.

Leo hii wamekata mapema...saa nne kasoro tu!

Eff them.

Kha!! Nawe mpiga debe wao mkubwa pia unalalamika!! Namsubiri yule mhaya Rutashobrwa maana yule kwa kusifia kila kitu utadhani karogwa
 

Kumbe we ndo msemaji wa TANESCO! Pongezi zako mkuu
 
yaaani tabata nilikuwa naandika hapa mara paaaap huu hapa umerudi
 
Huku mwanza usiseme. Nawaza tu kwa staili hii nchi ya viwanda itakuwa ndoto
 
Umeme kama tunapewa kwa msaada vile kumbe tunanunua tena kwa luku za kupandishiwa kila kukicha
 
KWANINI NYIE CCM AMBAO MNAJISIFIA MNAPENDWA NA WANANCHI HADI KUPATA KATA 42 MSITOE MATAMKO? AU CHADEMA TU NDIO WANAUMIZWA NA MATATIZO YA WANANCHI
chadema ndio mtetetezi mbadala pale serikali na chama chake kinapoenda kombo.
Sasa km chadema imeshindwa kutambua hili, dola mtasubiri sanaaa
 
chadema ndio mtetetezi mbadala pale serikali na chama chake kinapoenda kombo.
Sasa km chadema imeshindwa kutambua hili, dola mtasubiri sanaaa
KAMA MNAJUA NDIO MBADALA WA SERIKALI MBONA MNAWAUA KWA MAPANGA ILI MUPATE UONGOZI
 
NAWAPA USHAURI WA BURE FANYENI PRESS CONFERENCE WAAMBIENI WATANZANIA UKWELI KWAMBA NCHI IMEINGIA KWENYE MGAO WA UMEME. UNAFIKI NA UONGO WENU HAUSAIDII
 
Hawawezi kusema maana watampa sifa Prof Muhongo. JK anaangalia tu anajichekea zake. Kuna mzee maarufu alisema, "Huyu kwenye urais hatufai, anafaa kwenye unyapara wa barabara". Bado kitambo kidogo tu yatatimia
 
Aya kinundu [HASHTAG]#ndugu[/HASHTAG] yangu wa kyela....... Nipo dar.. Kunyrrez hamna umeme mda huu, hata juzi hapa mjin kulikuwa hamna umeme bila shaka huu umeme ni wamgao
Kyela ndio kila siku sahivi ni mwezi huu unakatika kuanzia sa moja hasubuhi kumufi sa yabo usiku.. Inasemekana hadi January
 
Sio jana wala juzi sisi Watu wa kyela ni ngezi sasa unakaribia Business as usual kukatika sa moja hasubuhi kurudi sa tano usiku
 
tatizo la umeme kwa sasa hata hapa zanzibar naliona maana toka wiki hii ianze ni ffull kukatika tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…