Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Tunaomba namba yako ya simu mp2ndwa mtejaNimeenda kuomba kuunganishiwa umeme kwenye kituo chenu Nyakato mwanza nimeambiwa hakuna Internet kama wiki mbili Sasa na wafanyakazu hawajui lini itarejea TANESCO naomba kujua ni lini Internet itarejea tuweze kupata huduma ya kuunganishiwa umeme?
Nimewatumia namba yangu PMTunaomba namba yako ya simu mp2ndwa mteja
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHivi kwanini mnapopigiwa Simu za dharura inachukua 12h au siku mbili ndo mkuje, nyaya tatu za juu kabisa zinakusa miti inapiga shot ata mkuji mkakata umeme kutwa mzima I'll mchana watu wasio usiku mkarudisha mvua ilipoanza shot tena
Umeomba kwa jina gani ,mkoa wilaya,eneo nambanya simu, namba ya fomu yako kiasi ulicholipaNIMELIPIA KUUNGANISHIWA UMEME, MIEZI MITATU SASA IMEPITA MNANISAIDIAJE SASA MANA NAONA NGUZO WANAPELEKEWA WANAOTOA RUSHWA TU HATA KAMA AMELIPIA NDANI YA SIKU MOJA, MSAADA WENU PLEASE