TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nimeenda kuomba kuunganishiwa umeme kwenye kituo chenu Nyakato mwanza nimeambiwa hakuna Internet kama wiki mbili Sasa na wafanyakazu hawajui lini itarejea TANESCO naomba kujua ni lini Internet itarejea tuweze kupata huduma ya kuunganishiwa umeme?
 
Tunaomba namba yako ya simu mp2ndwa mteja
 
Hivi kwanini mnapopigiwa Simu za dharura inachukua 12h au siku mbili ndo mkuje, nyaya tatu za juu kabisa zinakusa miti inapiga shot ata mkuji mkakata umeme kutwa mzima I'll mchana watu wasio usiku mkarudisha mvua ilipoanza shot tena
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
NIMELIPIA KUUNGANISHIWA UMEME, MIEZI MITATU SASA IMEPITA MNANISAIDIAJE SASA MANA NAONA NGUZO WANAPELEKEWA WANAOTOA RUSHWA TU HATA KAMA AMELIPIA NDANI YA SIKU MOJA, MSAADA WENU PLEASE
 
NIMELIPIA KUUNGANISHIWA UMEME, MIEZI MITATU SASA IMEPITA MNANISAIDIAJE SASA MANA NAONA NGUZO WANAPELEKEWA WANAOTOA RUSHWA TU HATA KAMA AMELIPIA NDANI YA SIKU MOJA, MSAADA WENU PLEASE
Umeomba kwa jina gani ,mkoa wilaya,eneo nambanya simu, namba ya fomu yako kiasi ulicholipa
 
Ttizo hili limerudia tena! tunaomba solution ya kudumu tafadhali. Kawe mikoroshini, nguzo iliyoko hospitali ya Usambara inatoa cheche na umeme unazima na kuwaka. Nyumba moja hauwaki kabisa. Tunaomba msaada tusije pata madhara makubwa.
 
Leo tunapotaka kununua luku inatugomea mpaka saa hizi. Tanesco tz ya viwonder leo siku ya uhuru tulale giza kweli
 
Nipo masasi nimejaribu nimeshindwa, nimejaribu kumtumia hela jamaa yangu alieko arusha aninunulie huko lakini wap,
 
Back
Top Bottom