TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Huduma ya luku imesharejea na wateja wanafurahia umeme wa Tanesco
Nyinyi ni Taasis kubwa, haipaswi kuwapa wateja majibu ya kipropaganda. Ni vizuri mkawa mnajiridhisha kabla ya kutoa majibu kama haya. Issue ya kununua luku ni tatizo mpaka dakika hii ninapoandika hapa.

TANESCO SHIRIKA PENDWA MNATUANGUSHA SANA.
 
Umeomba kwa nina gani namba ya simu mkoa na namba ya fomu ya maombi tafadhali
Mimi ninatumia unit chini ya 50kwa mwezi nimeomba wanirudishe raarifu four huuu kwaka ss hivi.wananizungusha tuu..mtanisaidiaje hapa.yani unit moja wananiuzia kwa 360 kama nina kiwanda vile.
 
Kama mtu una pesa yako nunua wa miezi 3. Likizo hii, jumlisha na kuamisha ofisi na kuhusu sehemu ya kufanyia kazi sijui kama hawajaipata.
 
Hivi nyie jamaa ndo mmeshindwa kabisa kumaliza hili tatizo? Luku haipatikani tunalala gizani nyie mnakunywa pombe tu weekend. Hivi kwanini?
 
Nasikia NMB mobile inapatikana, unaweza kupata ujumbe kuwa kuna shida ila zinakuja token baadae kidogo. Sina NMB so sijajaribu mwenyewe.
 
Mimi ninatumia unit chini ya 50kwa mwezi nimeomba wanirudishe raarifu four huuu kwaka ss hivi.wananizungusha tuu..mtanisaidiaje hapa.yani unit moja wananiuzia kwa 360 kama nina kiwanda vile.
Fika ofisini ujaze fomu mkuu
 
Nasikia NMB mobile inapatikana, unaweza kupata ujumbe kuwa kuna shida ila zinakuja token baadae kidogo. Sina NMB so sijajaribu mwenyewe.
Ndugu mpendwa mteja
Tunakujulisha kuwa kuna tatizo kidogo tunalifanyia kazi
 
Umeme Kusini imekuwa ni tatizo sugu sasa yaani hata kupiga photocopy ya kurasa 20 huwezi.
 
naomba kuuliza kuwa kuna umeme wa grid ya taifa kv 400 ambao unaajengwa kutoka singida kwenda arusha katika njia inayopita umeme huo watu walishatathminia toka 2015 na mara mwisho mze bendera[ R.I.P] alisaini mwezi wa march 2017 na watu hao bado hawakulipwa fedha zao.

je kwakuwa mpango huo bado wa kuwalipa hawa wtz walioathirika wananchi wanaruhusiwa kulima maeneo yao?. maana baadhi ya watu wamepitiwa zaidi ya maekari na hawana fedha za kukodisha maeneo watakaolima. TANESCO MAKAO MAKUU TUNAOMBA MAJIBU
 
Nusu saa iliyopita mmeenda Manyuki Transfoma Manispaa ya Morogoro mjini mmekata umeme alafu mkaipiga shoti transfoma mkaamua kubeba ngazi na kurudi ofisini. Wananchi baadhi ya Laini hawana umeme VP mnampango wa kuwarudishia leoleo ama mmlikuwa na lengo gani?

Mnakoelekea siko kuzuri, yaani watu wanatumia umeme nyie mnafika mtaani kwao mnawakatia alafu inasikika shoti Kwenye transfoma ..mnabeba ngazi mnaondoka!!.. Hawa wananchi wanaowatizama kwa ujinga mnaowafanyia hadharani asubuhi kweupe...kuna siku mtalipa gharama za hasira zao.
Km kuna kitu mnakifanya toeni taarifa kwamba mnaipiga shoti transfoma na mtazima umeme.

Turudi Kwenye point, umeme leo watapata ama watalala giza Leo?? Km mnatengeneza mtatumia siku ngapi?
 
Tunaomba taarifa zako tukuhudumie

Eneo
Namba ya simu
Transfoma ya kwa nani
Wilaya
 
naomba kuuliza kuwa kuna umeme wa grid ya taifa kv 400 ambao unaajengwa kutoka singida kwenda arusha katika njia inayopita umeme huo watu walishatathminia toka 2015 na mara mwisho mze bendera[ R.I.P] alisaini mwezi wa march 2017 na watu hao bado hawakulipwa fedha zao. je kwakuwa mpango huo bado wa kuwalipa hawa wtz walioathirika wananchi wanaruhusiwa kulima maeneo yao?. maana baadhi ya watu wamepitiwa zaidi ya maekari na hawana fedha za kukodisha maeneo watakaolima. TANESCO MAKAO MAKUU TUNAOMBA MAJIBU
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba taarifa zako tuwasiliane na wewe
 
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba taarifa zako tuwasiliane na wewe
Mkoa wa Morogoro
Wilaya Morogoro mjini
Kata Kihonda
Mtaa Manyuki transfoma(kituo cha basi)
Kituo cha daladala kinaitwa Manyuki transfoma...(hiyo transfoma Kwenye Kona ndio ninayoizungumzia)

Mlikuwepo mkafanya umeme ukate baadhi ya Laini alafu mkaondoka eneo la tukio. Namba yangu ya simu haitasaidia...fuatilia km nilivyoeleza hapo juu.
 
Utaratibu wa kuhamisha mita kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine ukoje!kwani nilipo panabomolewa nataka nihame na mita yangu
 
Kuna watu kila wakinunua umeme wanakatwa 50% kama deni walilokuwa wakidaiwa. Mteja atajuaje kuwa anadaiwa kiasi gani na balance yake ni kiasi gani kwa njia hiyo hiyo anayotumia kununulia umeme??
 
Mkoa wa Morogoro
Wilaya Morogoro mjini
Kata Kihonda
Mtaa Manyuki transfoma(kituo cha basi)
Kituo cha daladala kinaitwa Manyuki transfoma...(hiyo transfoma Kwenye Kona ndio ninayoizungumzia)

Mlikuwepo mkafanya umeme ukate baadhi ya Laini alafu mkaondoka eneo la tukio. Namba yangu ya simu haitasaidia...fuatilia km nilivyoeleza hapo juu.
Tumepokea taarifa mpendwa mteja
Tunakujulisha kuwa hakuna utaratibu wa kufanya ulivyodai bali transfoma huzimwa pale ambapo kuna kazi maalumu
 
Utaratibu wa kuhamisha mita kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine ukoje!kwani nilipo panabomolewa nataka nihame na mita yangu
Toa taarifa kwa mahandishi kwenda jwa manager wa eneo lako kwa hatua zaid
 
Back
Top Bottom