Low voltage eneo LA Dubai Makabe ni zaidi ya miezi mitatu tangu mlipoahidi kuleta Transfoma.leten transforma umeme unakatika sana kuanzia SAA 1 jioni hadi SAA 4 usiku kila siku kama mgao.
 
Low voltage eneo LA Dubai Makabe ni zaidi ya miezi mitatu tangu mlipoahidi kuleta Transfoma.leten transforma umeme unakatika sana kuanzia SAA 1 jioni hadi SAA 4 usiku kila siku kama mgao.
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Karibu nini
Tunaomba hizo taarifa
 
Kila wiki tunalala giza na kushinda bila umeme zaidi ya mara mbili,nadhani hapa kuna shida ya uwajibikaji,pia mnadhalilisha Rais wetu mpendwa kwani ni mtu makini anehitaji ufanisi wa dhati ili kuwaletea wananchi maendeleo. Tunawaomba kama mmeshindwa kazi semeni
 
Heri ya Christmas,
Nimenunua umeme kwa maxmalipo bahati mbaya zile namba za kuweka kwenye luku moja imefutika,nifanyeje ili niuweke umeme huo.

Asante
 
Wasiliana na huduma kwa wateja mtandao uliotumia kununua hiyo LUKU. WATAKUFOWADIA MESSEJI UPYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…