Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WilayaLow voltage eneo LA Dubai Makabe ni zaidi ya miezi mitatu tangu mlipoahidi kuleta Transfoma.leten transforma umeme unakatika sana kuanzia SAA 1 jioni hadi SAA 4 usiku kila siku kama mgao.
OK ,,asanteAkinunua chini ya hapo hainatatizo ila akizidi tunampeleka kundi la matumizi ya t1
Namba yao pleaseCustomer care wanahusika watakupatia token
Nimenunua lakini huo nao ni mwingi mno buku kumi na sikukuu hii ni kubwa mnoNunua tena mengine baadae
Nimekisia ile mbaya bila mafaniko...naona zitakuwa namba mbili kwani moja ninayoiona kama 3 siyo...hivyo ziko mbili.Kisia Mara tisa vitu vingine mbona easy sana
Ooh kumbe ni Marks Malipo. Duuh cjui hapo AseeeWasiliana na huduma kwa wateja mtandao uliotumia kununua hiyo LUKU. WATAKUFOWADIA MESSEJI UPYA
Maxcom Africa LimitedNamba yao please