Maxcom Africa Limited
First Floor, Suit 3 – 4 Millenium Tower – Makumbusho Area
P. O. Box 31211
Dar es Salaam – Tanzania
Hotline: +255 764 700 200 / +255 757 244 424
Ahsante ngoja nijaribu kuwasiliana nao
 
Waheshimiwa, mimi naandika kutoka Kilosa. Huko kwenu kuna umeme? HAPA Kilosa Tanesco wamechukua umeme toka saa saba mchana hadi sasa. Si kitu cha ajabu, kukosa umeme Kilosa siku ya sikukuu yeyote ni kitu cha kawaida.

Lakini haya yakitokea, Mwakilishi wa Rais, huyo anaitwa DC yupo na ametulia kimya kabisa. Mbunge yupo na hajawahi kuligusia hili hata siku moja, japo sijui kama huyo mbunge anakuwepo Kilosa wakati wa sikukuu. Inaonekana Tanesco Leo watatulaza giza!.

Hilo ni la umeme kwa saaa lakini nitatudi kwa baade kwa tatizo sugu la maji, maana battery inaagaa hiyo. Baadae basi.
 
Ndugu mpendwa mteja
Kulikuwa na tatizo kidogo na umeme umerejea mapema kabisa
 
Naomba kuuliza, kuna baadhi ya mita umeme unatumika kwa wingi sana pengine hata unit 7 kwa usiku mmoja lakini matumizi halisia hayaendani.

Kuna misemo mitaani kuwa pengine kune mita zinazotambukika kama za eneo la kazi ama kiwanda. Kuna ukweli juu ya hili??? Na kama hamna tatizo ni nini hasa
 
Sio kweli mpendwa mteja mita zote zinakuwa na matumizi yale yale kinachotoautiana ni matumizi yako mwenyewe
 
Tanesco Gongo la Mboto huduma zenu kwa wateja zimekuwa mbovu kuliko wakati wowote! Ukitoa taarifa kwamba labda mita ina tatizo au kuna tatizo la umeme nyumbani kwako itawachukua hadi wiki 2 ili wafike Na hapo uwe unafuatilia kila siku!

Mara utaambiwa mafundi wametoka mara hatuna usafiri! Mara nenda tutakuja na hawaji! Hili tatizo nimeliona zaidi ya mara 4!
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Umeme wa Gridi imekatika nchi ipo kwenye giza tena
Tafadhali mpendwa mteja acha kutia wateja wetu hofu umeme upo vizuri kama wewe hauna umeme tupatientaarifa zako

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Mkuu nimepiga simu Customer care Bagamoyo na hilo ndiyo jibu nililopewa.
Naomba upige simu Bagamoyo uulize
 
Mkuu nimepiga simu Customer care Bagamoyo na hilo ndiyo jibu nililopewa.
Naomba upige simu Bagamoyo uulize
Tunaomba taarifa tulizokuomba tufanyie kazi swala lako
 
Mkuu nimepiga simu Customer care Bagamoyo na hilo ndiyo jibu nililopewa.
Naomba upige simu Bagamoyo uulize
1: Peter John
2: 0717442148
3: Pwani
4; Bagamoyo
5: Kiromo
6; shule ya msingi kiromo
7: chagga street
8: 54151241178
9; Hatuna umeme mji wote wa Bagamoyo
 

Mna majibu mepesi sana kwenye maswala magumu Na ya msingi! Nimetoa taarifa ofisini kwa njia ya simu mlizoweka nikapewa Na namba ya taarifa,

Na nikaambiwa mafundi watakuja kesho alafu hawaji nikaanza kuacha kazi zangu na kwenda naambiwa rudi uwasubiri mchana alafu hawaji kesho yake ukirudi kufuatilia ni Kama unaanza upya ndo unaanza kuulizwa maswali tena! Nakuwa gizani kwa zaidi ya wiki 3 na hapo naenda naacha kazi zangu Na kuwafuatilia! Be serious nyie watu! Kwanza mapokezi poor sana, jibu lenu limenisikitisha mno!

Hili Sio tatizo la mara Moja ambayo unaweza kusema ni bahati mbaya! Ni kawaida sana pale Gongo la mboto ACHENI MAJIBU MEPESI YA NAMNA HII!
 
Jina
Namba ya simu
Namba ya taarifa na eneo lako tafadhali
 
Jina
Namba ya simu
Namba ya taarifa na eneo lako tafadhali

Hii nimetoa Kama ushauri kwenu kwamba mulikeni huduma zenu baada ya kukumbana Na kadhia hii kwa kesi nne tofauti Na kwa nyakati tofauti, taarifa ya mwisho nilitoa tarehe 14/12/2017 baada ya kufuatilia kila siku toka siku hiyo mpaka leo ndo nimehudumiwa! HIZO TAARIFA UNAZOTAKA KWA SASA NI USELESS
 
Mwanzo wa kuanza kuzimwilika ni wewe kutoa ushirikiano ili kupitia swala lako tuboreshe pale tunapoona kuna changamoto ndio maana tumeomba taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…