Waheshimiwa, mimi naandika kutoka Kilosa. Huko kwenu kuna umeme? HAPA Kilosa Tanesco wamechukua umeme toka saa saba mchana hadi sasa. Si kitu cha ajabu, kukosa umeme Kilosa siku ya sikukuu yeyote ni kitu cha kawaida. Lakini haya yakitokea, Mwakilishi wa Rais, huyo anaitwa DC yupo na ametulia kimya kabisa. Mbunge yupo na hajawahi kuligusia hili hata siku moja, japo sijui kama huyo mbunge anakuwepo Kilosa wakati wa sikukuu. Inaonekana Tanesco Leo watatulaza giza!. Hilo ni la umeme kwa saaa lakini nitatudi kwa baade kwa tatizo sugu la maji, maana battery inaagaa hiyo. Baadae basi.