TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
-
- #3,201
Kwa mujibu wa sheria mita ikihamishwa kutoka tarif 4 kwenda 1 hairudishwi tena mpendwa mtejaAhsanteni kwa linki hii...mm malalamiko yangu ni kuona nina zaidi ya mwaka nimehamia nyumba ya serikali ambayo tangu nihamie sijawahi zidi units 65 kwa mwezi lakini mmekataa kunibadilishia kutoka tarrif 1 kunipeleka tarrif 4...ili nkanunue units kwa tsh100/,,.
Niko mkoa wa Pwani Kibaha na nilienda ofisi zenu za Kibaha nikadanganywa eti mfumo utanibadilisha automatically lakini wapi....
Naomba sasa mnibadilishie maana aliyekuwa anaishi hii nyumba matumizi yake yalikuwa makubwa lakini mm tangia nihamie tarehe 10/11/2016...sijawahi zidi units 65. kwa mwezi acha zile 75 mnazosema kiutaratibu...
Naomba mnibadilishie...namba ya mita yangu ni 01311281537