TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ahsanteni kwa linki hii...mm malalamiko yangu ni kuona nina zaidi ya mwaka nimehamia nyumba ya serikali ambayo tangu nihamie sijawahi zidi units 65 kwa mwezi lakini mmekataa kunibadilishia kutoka tarrif 1 kunipeleka tarrif 4...ili nkanunue units kwa tsh100/,,.
Niko mkoa wa Pwani Kibaha na nilienda ofisi zenu za Kibaha nikadanganywa eti mfumo utanibadilisha automatically lakini wapi....
Naomba sasa mnibadilishie maana aliyekuwa anaishi hii nyumba matumizi yake yalikuwa makubwa lakini mm tangia nihamie tarehe 10/11/2016...sijawahi zidi units 65. kwa mwezi acha zile 75 mnazosema kiutaratibu...
Naomba mnibadilishie...namba ya mita yangu ni 01311281537
Kwa mujibu wa sheria mita ikihamishwa kutoka tarif 4 kwenda 1 hairudishwi tena mpendwa mteja
 
salaam ,
sijajua niende wapi tena , ili nipate msaada . niliomba kubadilishia tariff , nikaelekezwa taratibu, nimefuata hizo taratibu za kujaza form lkn zoezi zima halijafanyika hii ni tangu 13/dec 2017. SWALI LANGU INACHUKUA SIMU NGAPI KUZAJA FORM HADI NINYIO KUJA NYUMBANI KWANGU KAMA NILIVYOAMBIWA ........? NIWASUBIRI HADI LINI.......? fomu yangu nilijazia temeke kurasini. naomba nijulishwe .
 
Unapata ujumbe gani ukinunua na namba yako ya simu tafadhali
Tigo pesa:
Muamala umesitishwa. Pesa zako zimerudishwa kwenye account yako ya Tigo pesa. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa maelezo zaidi.

MPESA:
Ndugu mteja hutoweza kufanya muamala huu kwa sasa tafadhali jaribu tena baadaye
 
salaam ,
sijajua niende wapi tena , ili nipate msaada . niliomba kubadilishia tariff , nikaelekezwa taratibu, nimefuata hizo taratibu za kujaza form lkn zoezi zima halijafanyika hii ni tangu 13/dec 2017. SWALI LANGU INACHUKUA SIMU NGAPI KUZAJA FORM HADI NINYIO KUJA NYUMBANI KWANGU KAMA NILIVYOAMBIWA ........? NIWASUBIRI HADI LINI.......? fomu yangu nilijazia temeke kurasini. naomba nijulishwe .
Bado ipo kwenye uhakiki mkuu
 
Tigo pesa:
Muamala umesitishwa. Pesa zako zimerudishwa kwenye account yako ya Tigo pesa. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa maelezo zaidi.

MPESA:
Ndugu mteja hutoweza kufanya muamala huu kwa sasa tafadhali jaribu tena baadaye
Tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu mkuu
 
mita yetu namba 24210882544
inatumia umeme kuliko kawaida yake yaani unit 5.6 kwa siku na tunawasha TV radio na taa tu,mwanzo haikuwa hivi Ila imetokea tu ghafla.
 
Tafadhali angalia matumizi yako kwani unatumia wastani wa unit 94 kwa mwezi toka mita imefungwa
 
Hivi Tanesco post [HASHTAG]#3194[/HASHTAG] hamjaiona au ndo madharau?
 
Playstore nimeona kuna application ya Tanesco hebu tuambieni kama ni officially ya kwenu na je kama ni ya kwenu inafanyaje kazi? Maana isije kuwa ni ya matapeli ambao wameamua kutumia nembo yenu kuibia watu.
 
Ipo kwenye majaribio kwa Mkoa wa Kinondoni kasikazini tu
 
Hapana zipo mbili moja ni hiyo ya Kinondoni kaskazini na nyingine ni mpya imewekwa hivi karibuni. Hebu nenda kwanza playstore halafu uje hapa utuletee majibu sahihi.
 
Umeme Kigamboni unasumbua sana tatizo ni nini
Maana kwa siku unaweza kukatika mpaka mara 50
 
Hapana zipo mbili moja ni hiyo ya Kinondoni kaskazini na nyingine ni mpya imewekwa hivi karibuni. Hebu nenda kwanza playstore halafu uje hapa utuletee majibu sahihi.
Tutazifanyia ucunguzi mkuu tunashukuru kwa taarifa
 
Sheria sijui inasemaje lakini tangia mita ilipowekwa ilikuwa ipo tarrif 1..(matumizi makubwa)..tangia mimi nilipohamia hiyo nyumba tarehe 10/11/2016 sijawahi zidi units 65.

kwahyo sio kweli kusema iliwahi kuwekwa tarrif 4 then ikarudishwa tena tarrif 1 kama ulivyonijibu hapo juu.

Namba yangu ya mita ni 01311281537...ilianzia taarif 1...ndo sasa nataka mnihamishe tarrif maana ni zaidi ya mwaka sasa sijawahi zidi units 75...na ofisi zenu za Kibaha hawakuwahi nipa majibu mliyonipa hapa bali wao walisema siku hizi..
mfumo unakubadilisha tarrif automatically...
 
TANESCO Kimara/Mbezi, kitengo cha emergency services sijui kimelala au ni vipi. Nimepiga simu mara nyingi tu kutoa taarifa za umeme kukatika usiku (kwangu tu), na kurudi asubuhi. Nimepewa matumaini kuwa watakuja kuangalia tatizo hadi leo sijawaona, zaidi ya wiki sasa, it's so disturbing shirika moja na haliwezi kutoa huduma stahiki kwa wateja wake. Tanesco has failed miserably.

Meter yenu ni mbovu, inakata umeme. Tafadhali fanyeni wajibu wenu, ni wajibu wenu wala hamtufanyii hisani.
 
Jina
Namba ya simu
Namba ya taarifa
Namba ya mita
Tunaomba hizo taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom