naomba nichekie matumizi yangu kuangalia kama na qualify kuwa kwenye T4 namba yangu 24211416151Tunaomba namba yako ya mita tuangalie matumizi yako
je nafanyeje ikiwa natashuka kwenye T4 ikiwa matumizi yangu yatashuka chini ya unit 70 kwhMatumizi yako ni ya tarif 1 na upo tarif 1
nafanya taratibu gani ili kushuka kwenda T4 ikiwa nitapunguza matumiz yangu yakiwa chin ya unit 70je nafanyeje ikiwa natashuka kwenye T4 ikiwa matumizi yangu yatashuka chini ya unit 70 kwh
Tunakamilisha taratatibu za ndani kisha umeme utawakaTANESCO/REA -Kisarawe...tunashkuru kutufikishia huduma ya umeme maeneo ya kati ya Mvuti na Chanika.
Naomba kujua lini mtatuwashia umeme...Kila kitu tayari hadi transformer ila hatujajua lini tutakwenda kulipia na kuwashiwa.
asant.
Tumepokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi mkuuSamahani mimi nina mlalamiko ya miita mwaka watano huu nimeandika barua zaidi ya sita ilaaTatiazo langu halijawahii kushugulikiwa.
Tatizo nilifungiwa mita ya mashine ya zamani inaleta hesabu tofautti na uhalisia, nimbovu kwa ujumla. Ilifugwa kabla hata ya ujio wa luku. Mfumo wa luku ulipokuja wateja wote wa mita za zamani walibadilishiwa kasoro mimi. Nimeombahuduuma ya luku zaidi ya mara sita ila bila kufanikiwa.
Mimi ni Dennis Arthur wa mogitu pembeni ya shule ya msingi mogitu katesh hanang manyara tanzania.
Naomba msaada wenu wakuu.
0754627252
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKONapenda kufahamu kwamba kunatatizo gani la umeme kahama kwa siku mbili mfululizo umeme unakatwa asbh na kurudishwa jioni na inapendeza mkiwa mnatoa taarifi ili nasi wafanyabiashara tujipange kisaikolojia! Tatizo Nini na ili zoezi litafanyika kwa siku ngapi?
Dah umerudi. Asante tanescoMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"