Umeme unakatika mno kigamboni tafadhalini shughulikieni jambo ili tunaumia na kupata hasara kwenye biashara zetu
 
Ila nililipo lipa mliniambia imebaki laki 8, tena a makao makuu! Au hata hapo hela zinavujiaga njiani kama mnavyotuambia kwenye wiring ya umeme!? Risiti zote nnazo, japo nilipitisha grease kidogo kupooza vyuma!
 
Utaratibu ni kuwa ukiweza kulipa deni lote mara moja unaondolewa riba
 
Utaratibu ni kuwa ukiweza kulipa deni lote mara moja unaondolewa riba
KWELI NIMEAMIN MTOTO ANAFATA TABIA ZA BABA! MAJIBU YENU SAME SAME MAGUFULI! HILI NI JIBU LA KUMJIBU MTEJA KWELI?! KIRAHIC
 
Tanesco meter separation Luku ndani ya nyumba moja Temeke maghorofani inagharimu shilling ngapi?, wiring tayari 0628561412
 
Habari mimi naitwa Molly Mohamed Rutenge, naomba kupata ufafanuzi kuhusu wakazi tunaoishi Chamanzi, kuna maeneo yalishapelekewa umeme lakini maeneo mengine hatuna umeme, je kuna mkakati gani ai mpango ganiwa kukamilisha kusambaza umeme kwa wakazi wote Chamanzi?
 
Nahitaji kujua bei I ya units za umeme. Natumia wastani wa 113 kwa mwezi lakini nalipa 40,000. Naona beI kama ipo juu
Tunaomba namba yako ya mita, bei ni 292 kwa unit
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Habari zenu ndugu wana jf,katika siku ya leo sie tuishio maeneo ya Ilala leo tangu asubuhi ya saa 3 mpaka muda huu umeme haujarudi,na hatujajua ni kitu kimesababisha mpaka umeme kutokurudi ili hali sie wengine kazi zetu tumejiajiri wenyewe pasipo na umeme hatuwezi fanya lolote na pia tuna familia nazo zinahitaji kula,Tanesco ya Ilala mtupunguzie basi haya makali ya umeme kukatika muda mrefu
 
za kazi ndgzangu wa tanesco. NAWASHANGA KWA KWELI. niliwauliza kuhusu kubadilishiwa tariff kutokana na matumizi yangu, mkanipa maelekezo, nimefuta maelekezo yenu sasa ni mwezi wa pili hakuna msaada wowote, fomu nimejaza namba ya simu nimeacha kwenye fomu, na fomu zile haziko wazi zaidi kutambua eneo husika analoishi mteja , nikajua ile namba ya simu itawasaidia , BAADA YA KUONA KIMYA NIKAWAULIZA TENA HUMUHUMU , NPIA MMEPIGA KIMYA .au hili zoezi halifanyiki bila kutoa chochote........?
 
Bado ipo kwenye uhakiki mkuu
uhakiki upi ......? nina ndg yangu huko tanesco idara hiyo hiyo bali yeye yuko mkoani , ananiambia zoezi hilo halichukui zaidi ya siku mbili baada ya kufuatiolia matumizi ya mteja ,. ninyi huo uhakiki mnaufanya kwa kutazama jua.......? mbona kila kitu ni software.........?
 
Ilala kuna watu walikuwa wamesababisha hitilafu hatua kazi zinachukuliwa
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Kwa niaba ya TANESCO napenda nikujibu ushauri au maswali yako yenye sehemu A Na B kama ifuatavyo;
Kuhusu namba ya mita kuhifadhiwa automatically kwenye simu mara baada ya kufanya transaction ili siku nyingine usiingize tena namba ya mita, unaweza kufanya mwenyewe.
Kwa mtandao wa voda bonyeza *150*00# chagua 7 My account, Chagua Pay bill references, kisha chagua no 1 LUKU, chagua 1 add ingiza no ya mita, kisha no ya siri ya mpesa.
Baada ya hapo hutahitajika tena kuingiza namba ya mita unapobunua umeme. Na kuhusu uliposema
[/QUOTE]
Hata ukitaka kuangalia umeme ulio nunua kwa mara ya mwisho unapata details zote kwa kupitia m pesa[/QUOTE]
Ndiyo hilo linawezekana. Kupitia airtel money unaweza kupata taarifa za miamala hadi mitano (including token) kwa kubonyeza *150*50*345#
 
Mnadnganya
 
Mbona hamjakata umeme uku mwananyamala, mwezi sasa unakatika tunataka blackout!
 
Habari za leo. Nimetuma maombi kupatiwa umeme kwa ajili ya fremu ya biashara ofisI zenu pale KISARAWE.

Mimi nipo KIGOGO SOKONI karibu na kituo cha treni cha MWAKANGA tangia mwaka jana mwezi wa kumi sijapata surveyor. nimewasilisha mchoro na kulipia gharama ya faili. sihitaji nguzo kwenye eneo langu. waya upo karibu. nimefika mara nyingi bila msaada naomba nisaidiwie. namba ya dharura nimepiga bila mafanikio.

jina la file; Matilda Njau
simu 0713683422
 
Tumepokea kwa ufatiliaji mpendwa mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…