Jonathan Kisungwe
Member
- Aug 21, 2014
- 11
- 6
Umeme unakatika mno kigamboni tafadhalini shughulikieni jambo ili tunaumia na kupata hasara kwenye biashara zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nililipo lipa mliniambia imebaki laki 8, tena a makao makuu! Au hata hapo hela zinavujiaga njiani kama mnavyotuambia kwenye wiring ya umeme!? Risiti zote nnazo, japo nilipitisha grease kidogo kupooza vyuma!Nyumba yangu iko ukonga, meter no. yangu. ni 24219542842, ni nyumba ya wapangaji, walichokonoa luku, nimelipa laki 450,000 mmerudisha umeme, lakini unit mnaniuzia Kwa bei kubwa maana nalipa nikiwa mkoani, unit moja nimejaribu kununua mpesa, 500 napata 0.4 unit! Hii sio haki, hata kama na riba itoeni! huwa hatuendagi hivyo! Hat dangote hanunui umeme kwa bei hiyo! Jina la meter ni aloyce ryoba. Hata tarrif 3 hawalipagi hivyo. 0765825819
Utaratibu ni kuwa ukiweza kulipa deni lote mara moja unaondolewa ribaKikubwa nilichokuwa nikiomba kwenu, ni kutolewa/ama kupunguziwa riba kwenye hili deni, vyuma vimekaza! Kweli katika umeme Wa 500 tu mnakata 375! Sawa na 75%! Hii si rafiki kabisa Kwa mteja wenu, wekeni japo nusu kwa nusu makato, naumia! Hali yenyewe mnaijua, au japo mkate 45% naomba ndugu zangu.
KWELI NIMEAMIN MTOTO ANAFATA TABIA ZA BABA! MAJIBU YENU SAME SAME MAGUFULI! HILI NI JIBU LA KUMJIBU MTEJA KWELI?! KIRAHICUtaratibu ni kuwa ukiweza kulipa deni lote mara moja unaondolewa riba
Nahitaji kujua bei I ya units za umeme. Natumia wastani wa 113 kwa mwezi lakini nalipa 40,000. Naona beI kama ipo juutunashukuru kusogea karibu na wateja wetu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHabari mimi naitwa Molly Mohamed Rutenge, naomba kupata ufafanuzi kuhusu wakazi tunaoishi Chamanzi,kuna maeneo yalishapelekewa umeme lakini maeneo mengine hatuna umeme,je kuna mkakati gani ai mpango ganiwa kukamilisha kusambaza umeme kwa wakazi wote Chamanzi?
uhakiki upi ......? nina ndg yangu huko tanesco idara hiyo hiyo bali yeye yuko mkoani , ananiambia zoezi hilo halichukui zaidi ya siku mbili baada ya kufuatiolia matumizi ya mteja ,. ninyi huo uhakiki mnaufanya kwa kutazama jua.......? mbona kila kitu ni software.........?Bado ipo kwenye uhakiki mkuu
Ilala kuna watu walikuwa wamesababisha hitilafu hatua kazi zinachukuliwaHabari zenu ndugu wana jf,katika siku ya leo sie tuishio maeneo ya Ilala leo tangu asubuhi ya saa 3 mpaka muda huu umeme haujarudi,na hatujajua ni kitu kimesababisha mpaka umeme kutokurudi ili hali sie wengine kazi zetu tumejiajiri wenyewe pasipo na umeme hatuwezi fanya lolote na pia tuna familia nazo zinahitaji kula,Tanesco ya Ilala mtupunguzie basi haya makali ya umeme kukatika muda mrefu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOza kazi ndgzangu wa tanesco. NAWASHANGA KWA KWELI. niliwauliza kuhusu kubadilishiwa tariff kutokana na matumizi yangu, mkanipa maelekezo, nimefuta maelekezo yenu sasa ni mwezi wa pili hakuna msaada wowote, fomu nimejaza namba ya simu nimeacha kwenye fomu, na fomu zile haziko wazi zaidi kutambua eneo husika analoishi mteja , nikajua ile namba ya simu itawasaidia , BAADA YA KUONA KIMYA NIKAWAULIZA TENA HUMUHUMU , NPIA MMEPIGA KIMYA .au hili zoezi halifanyiki bila kutoa chochote........?
Kwa niaba ya TANESCO napenda nikujibu ushauri au maswali yako yenye sehemu A Na B kama ifuatavyo;TANESCO boresheni huduma kwatunao nunua umeme kwenye simu
Mimi niko kanchi jirani nimependa sana mfumo wao wa kununua umeme kwa njia ya simu hivo ningependa hii huduma itumike hata kwetu iko hivi :-
Unapo fanya muamala kwa mara ya kwanza mtandao hukuhitaji kuweka namba mita ukisha kamilisha muamala wako namba inasajiriwa kwenye mufumo hivo kila ukitaka kununua umeme hautajitaji tena kuingiza namba ya mita utakuta jina lako unachagua unaendelea kufanya muama wako.
Mfano![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nb. Hata ukitaka kuangalia umeme ulio nunua kwa mara ya mwisho unapata details zote kwa kupitia m pesa
MnadnganyaTafadhali mpendwa mteja acha kutia wateja wetu hofu umeme upo vizuri kama wewe hauna umeme tupatientaarifa zako
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Tumepokea kwa ufatiliaji mpendwa mtejaHabari za leo. Nimetuma maombi kupatiwa umeme kwa ajili ya fremu ya biashara ofisI zenu pale KISARAWE. Mimi nipo KIGOGO SOKONI karibu na kituo cha treni cha MWAKANGA tangia mwaka jana mwezi wa kumi sijapata surveyor. nimewasilisha mchoro na kulipia gharama ya faili. sihitaji nguzo kwenye eneo langu. waya upo karibu. nimefika mara nyingi bila msaada naomba nisaidiwie. namba ya dharura nimepiga bila mafanikio.
jina la file; Matilda Njau
simu 0713683422