Taarifa muhimu nchi yetu tunaijua hata tusipokuwa na umeme mwezi hakuna shida la msingi watupe taarifa tu tujipange....mambo mengine huwezi kulazima kama umeme hautoshi hautoshi tuTemeke ni kila siku
Watoe taarifa kwani wanakuogopa.Tanesco ni wiki sasa hapa Dar mnakata umeme aidha asubuhi mpaka jioni au mnakata ikifika saa moja usiku mpaka saa sita usiku.
Kama kuna mgao wa umeme basi toeni taarifa wanainchi tujue ili tujiandae na huo mgao kwa kuweka bajeti ya mafuta ya majenereta yetu.
17500 kulipa unit 50Habari zenu tanesco,napenda kuuliza mie nimefungiwa umeme mwezi uliopita,na wameniambia nina unit 50 za mkopo,je wameniambia kwa mara ya kwanza niende kununua katika ofisi zao,je natakiwa kwenda na kiasi gani kwa ajili ya kulipia izo unit 50
Tinaomba namba yake ya taarifa na namba ya simuJamani mimi najirani yangu anatatizo la LUKU na ameripoti mbezi beach tangu tarehe 20 January na mafundi wakakagua na kumwandikia kuwa LUKU inatakiwa iwe replaced kwani inatatizo.Kila simu ikipigwa anaambiwa tunawajulisha wausika na namba ya kuripoti tunayo wakiitaji nitawapa anaomba msaada.Ni eneo la mbezi beach shule ya Kiramuu.Simu ya tanesco inayopigwa ni 0788 230 657 emergency ila hajashughulikiwa.Tunaomba msaada jamani
Inavyoonyesha matumizi kwa mwezi kwenye hii mita hayazidi unit 50.Inakuwaje bado iko kwenye tariff 1 wakati inatakiwa iwe tariff 4.Kwa kuijiridhisha angalia matumizi ya kila mwezi kwa mwaka mzima wa 2017.Ipo tarrif 1 matumizi ya nyumbani
Mita namba 24213512213Inavyoonyesha matumizi kwa mwezi kwenye hii mita hayazidi unit 50.Inakuwaje bado iko kwenye tariff 1 wakati inatakiwa iwe tariff 4.Kwa kuijiridhisha angalia matumizi ya kila mwezi kwa mwaka mzima wa 2017.
.
Tafadhali hakikisheni mnapata magari makubwa yakazi maana huku kwetu tmk yombo tanesco walikuwa wanashida sana ya magari mpk kifikia mafundi sometime kutembea kwa miguu mpk wananchi tunawaonea huruma tunawakodia bajaji, mara wakaletewa gari ya green lkn ni kadogo kwa ajili ya meneja tuu hakafai kitu mara tena likaja lingine jeupe nalo ni dogo halifai kitu.
Hebu kuweni serious mnajua shirika ni la kazi mnaleta vigari vidogo seriously?
Waambieni viongozi wenu wawe serious hayo magari mabovu muyauze mnunue pamba mpya, igeni hata kenya.
Tumekusikia mpendwa mtejaMimi nipo wilaya ya Tunduru naamini TANESCO ndio wasimamizi wa mradi wa REA . Nilihitaji kufungiwa Mita ktk Kijiji cha muhuwesi kwa Nyumba ya mama ila nilipoenda kulipa mara ya kwanza Walisema mtaa haupo kwenye ramani. Na cha kushangaza zaidi waliweka nguzo ktk mtaa wetu na kutoa nilipoenda ofisi za TANESCO wilaya meneja aliniambia kama nipo ndani ya Mita 45 hadi 75 natakiwa kulipia tsh150000 Ili nipate Mita Na viongozi wa nchi wanasema umeme wa REA kila mwananchi apata kwa tsh 27000 je kuna ukweli na hizi kauli za viongozi? Na kama si kweli amuoni kuwa kuna mgawanyiko kati yenu na wananchi kupitia kauli za viongozi? Na mnanisaidiaje nipate umeme
nenda kwenye kituo chako cha karibu cha tanesco, mi mwenyewe niliwekwa tariff 1, nilibadilishiwa cery simple na sikuhonga hatta senti moja.Mita namba 24213512213
Tumekusikia mpendwa mtejaMimi nipo wilaya ya Tunduru naamini TANESCO ndio wasimamizi wa mradi wa REA . Nilihitaji kufungiwa Mita ktk Kijiji cha muhuwesi kwa Nyumba ya mama ila nilipoenda kulipa mara ya kwanza Walisema mtaa haupo kwenye ramani. Na cha kushangaza zaidi waliweka nguzo ktk mtaa wetu na kutoa nilipoenda ofisi za TANESCO wilaya meneja aliniambia kama nipo ndani ya Mita 45 hadi 75 natakiwa kulipia tsh150000 Ili nipate Mita Na viongozi wa nchi wanasema umeme wa REA kila mwananchi apata kwa tsh 27000 je kuna ukweli na hizi kauli za viongozi? Na kama si kweli amuoni kuwa kuna mgawanyiko kati yenu na wananchi kupitia kauli za viongozi? Na mnanisaidiaje nipate umeme
Tumekusikia mpendwa mtejaMimi nipo wilaya ya Tunduru naamini TANESCO ndio wasimamizi wa mradi wa REA . Nilihitaji kufungiwa Mita ktk Kijiji cha muhuwesi kwa Nyumba ya mama ila nilipoenda kulipa mara ya kwanza Walisema mtaa haupo kwenye ramani. Na cha kushangaza zaidi waliweka nguzo ktk mtaa wetu na kutoa nilipoenda ofisi za TANESCO wilaya meneja aliniambia kama nipo ndani ya Mita 45 hadi 75 natakiwa kulipia tsh150000 Ili nipate Mita Na viongozi wa nchi wanasema umeme wa REA kila mwananchi apata kwa tsh 27000 je kuna ukweli na hizi kauli za viongozi? Na kama si kweli amuoni kuwa kuna mgawanyiko kati yenu na wananchi kupitia kauli za viongozi? Na mnanisaidiaje nipate umeme
Hii haitokei bila wewe kuleta maombi kwa maandishi kwa kuw ukizidi unit 75 unapigwa penalt hivyo lazima ujizatiti kwa maandishiInavyoonyesha matumizi kwa mwezi kwenye hii mita hayazidi unit 50.Inakuwaje bado iko kwenye tariff 1 wakati inatakiwa iwe tariff 4.Kwa kuijiridhisha angalia matumizi ya kila mwezi kwa mwaka mzima wa 2017.
.
Asantenenda kwenye kituo chako cha karibu cha tanesco, mi mwenyewe niliwekwa tariff 1, nilibadilishiwa cery simple na sikuhonga hatta senti moja.
AsanteHii haitokei bila wewe kuleta maombi kwa maandishi kwa kuw ukizidi unit 75 unapigwa penalt hivyo lazima ujizatiti kwa maandishi
mimi nimewaambia kuwa nimeomba kipindi REA wanaweka nguzo wakasema mtaa hauko kwenye ramani na Nimefika mpaka ofisi za wilaya meneja Kaniambia hayo majibu no 0620244186 jina DANFORD MHEBUKATumekusikia mpendwa mteja
Tunaomba namba ya simu na jina uliloombea umeme tufatilie na kujua usahihi wa taarifa unazosema
Nimeshakutumia kwenye inbox yako kwa ajili ya usalama wake siwezi andika namba ya simuTinaomba namba yake ya taarifa na namba ya simu