MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOSijui niseme kuwa ni kutupuuza wateja wenu au ndiyo sera ya shirika,, nimekuwa nikiriporti tukio la nguzo yenu moja iliyooza kabisa na kubaki ikiwa ndani ni kisuguu kabisa katika mji mdogo wa Ngerengere na matokeo yake si site supervisor wala Chalinze,suboffice kuchukua hatua ya kuepusha tahadhali hii.
Nguzo ni server ya main line inayoenda kituo cha Afya Ngerengere ikitokea substation ya hapa Ngerengere . Nauliza mnasubiri nini kitokee hata nguzo hii ibadilishwe
Inasikitisha sana
Tunaomba taarifa kamili mkuu tukuhudumieMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Wasili Ngerengere kagua nguzo ninayoisema ipo katika line itokayo kituo cha Afya Ngerengere au nenda post yenu ya Ngerengere Muulize site manager kuhusu nguzo hii unataka nijaze form ipo. ??Tunaomba taarifa kamili mkuu tukuhudumie
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Ndio maana tumekuomba taarifa zako ili kupitia wewe wataalamu wetu wafike eneo husika mkuuHebu tuelewane hii nguzo ninayoizungumzia si nguzo ya MTU Bali in nguzo itoayo huduma zaTANESCO (fider) hivyo mm kama RAIA na mteja nisiyependa ajali zinazoweza kuepukika nimekuelezeni kuwa nguzo hii ni hatari kwa kuwa imeoza na several times tumetoa taarifa hapa Ngerengere na Chalinze respectively. tayari ninahakika kabisa taarifa mnayo sasa kabla haijasababisha maafa njooni muibadilishe hakuna jingine
Upo ofisi gani na namba yako ya simu tafadhali. Je kuna foleniNipo Ofisi mojawapo ya Tanesco hapa DSM kufuata form ya maombi ya kufungiwa umeme lkn nimeambiwa nikae foleni na ni nusu saa sasa hakuna hata mtu mmoja aliyepewa form. Sasa najiuliza yaani form tu zinachukua muda hivi? Kwa nini zisiwe printed kabisa ili mteja akifika anapewa tu. Ufafanuzi tafadhali kabla hatujachukua hatua mbaya!
Unamaanisha umeme naujawafikia? Tunaomba namba yako ya simu tutakukulishaWqkqzi wa madale kisauke kama unawnda kwa mzungu tupo kisiwani kabisa,tanesco oneni aibu jamani mwaka wa tano huu hakuna umeme chaajabu mitaa yajirani upo huku inashindikana nini sasa?? Mbona mnaenda kinyume na maagizo ya mh Rais wetu?? Au mnamuhujumu??
Naomba kucheki kama hii mita 24213512213 iko kwenye tariff ngapi kwani nilieta maombi ya kushuka.Ipo tarrif 1 matumizi ya nyumbani
Tanesco mmeshachukua umeme wenu wa mawazo saizi tumelala viyoyozi vimezima kuna tatizo gani usiku huu mpaka mmeamua kukata umeme?Tunashukuru sana mpendwa mteja
Utanipata kwa kupitiaNdio maana tumekuomba taarifa zako ili kupitia wewe wataalamu wetu wafike eneo husika mkuu