Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Sijui niseme kuwa ni kutupuuza wateja wenu au ndiyo sera ya shirika,, nimekuwa nikiriporti tukio la nguzo yenu moja iliyooza kabisa na kubaki ikiwa ndani ni kisuguu kabisa katika mji mdogo wa Ngerengere na matokeo yake si site supervisor wala Chalinze, suboffice kuchukua hatua ya kuepusha tahadhali hii.
Nguzo ni server ya main line inayoenda kituo cha Afya Ngerengere ikitokea substation ya hapa Ngerengere.
Nauliza mnasubiri nini kitokee hata nguzo hii ibadilishwe
Inasikitisha sana
Nguzo ni server ya main line inayoenda kituo cha Afya Ngerengere ikitokea substation ya hapa Ngerengere.
Nauliza mnasubiri nini kitokee hata nguzo hii ibadilishwe
Inasikitisha sana