TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
KIBOSHO HAKUNA UMEME TOKA SAA 4 ASUBUHI NA HATUJUI TATIZO NI NN? NAOMBA MAJIBU
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Hakuna umeme sehemu yote sio kwangu tu mseme nitoe namba,kibosho moshi hakuna umeme nipe jibu
 
Umeme umerejea tinao,ba radhi sana mkuu
Umerejea saa ngapi?
alafu kwanini mnakata saa sita usiku tatizo ni nini?
Naona mmefululiza kukata kila siku usiku alafu mnarudisha asubuhi
Tuelezeni kuna tatizo gani?
 
na miliki nyumba ila sikai hapo ni kwa mda sasa tokea nihanie nyumba yangu nyingine nimewapangisha wapangaji baada ya tanesco kukagua wakasema meter ya luku imechezewa kisheria nani ana wajibishwa kwakosa hilo na utaratibu wake ukoje maana sijajua hapo kisheria zenu imekaaje
 
Shirika linakutambua kama wewe ndio mmiliki na mtumiaji wa umeme wa eneo lako hivyo kama ulikuwa unampangaji ulipaswa kutoa taafifa ili kurasmisha hilo, aidha shirika litakutaka ulipe faini zote mwenyewe au kuwasiliana na uliyempangisha alipe kwa kuwa hakuwahi kuwa na mkataba na tanesco
 
Kuna eneo moshi kila siku kuanzia SAA moja mpaka saa tano usiku umeme unakatika..kuna tatizo gani..ni wiki mbili sasa..
 
thanks kwanini hakuna ushirikiano kati ya tanesco na mwenye nyumba kuweza kuwashikilia user wahapo ili waweze kutoa mwongozo nani aliyefanya na lini .kumtuhumu mwenye nyumba akat sio mkazi wahapo nawakati kashasema wahusika ni hawa hapa hamuoni kama mwenye nyumba anaonewa
 
Mpangaji hana mkataba na Tanesco , kitu ambacho shirika linaweza kufanya nimkutoa ushahidi kuwa umeme umetumika kipindi gani na wewe mwenye mkataba na mpangaji wako ndio umalizane naye, mara nyingi wateja wamekuwa wakipata madhara ya wapangaji kwa kuwa hawatoi taarifa za hawo wapangaji
 
Kama nina nyumba yangu nimeiongeza baada ya kuingiziwa umeme(mchoro wa umeme uliopo sasa na wa wakati naomba umeme nikaingiziwa ni tofauti).

Taratibu zipi natakiwa kuzichukua ili mchoro wa umeme uliopo sasa ubatilishe mchoro wa awali?
 
Kama nina nyumba yangu nimeiongeza baada ya kuingiziwa umeme(mchoro wa umeme uliopo sasa na wa wakati naomba umeme nikaingiziwa ni tofauti). Taratibu zipi natakiwa kuzichukua ili mchoro wa umeme uliopo sasa ubatilishe mchoro wa awali?
Kabla haujapeleka umeme kwenye sehemu iliyoongwezwa unapaswa kutoa taarifa kwetu ili tupime na kujiridhisha kuwa matumizi yako yatakuwa ya kiasi kile cha umeme tulichokupa au unahitachi kubadilishiwa, kutofanya hivyo ni kosa kisheria
 
Ahsante kwa kunijuza.
 
TANESCO naona kwenye hii barabara inayojengwa kati ya Sinza na Magomeni mnahamisha nyaya za umeme mkubwa na mdogo na kupitshwa juu ya nyumba za watu
Wasiwasi wangu ni kuwa kuna siku mtaanza bomoa bomoa mkidai watu wamejenga kwenye njia ya umeme
MNASEMAJE?

Je ni sheria ipi inawaruhusu kupitisha umeme mkubwa juu ya nyumba za watu?
 
Aisee kumbe sikuizi muna kikosi kazi,chenye mamlaka ya kukamata watu?.tunaomba mtueleze kikosi hiki kinafanya kazi hizo kwa kutumia sheria ipi ya nchi?.
 
Ajira mnapeana kindugu na kujuana hadi mnakera msiwe mnatangaza muwe mnawaita ndugu na kuwasainisha mikataba regional manager kabisha anasema kapewa maelekezo kutoka rejea ajira za mkoa wa songwe
 
Mita hii una deni hivyo kila unaponunua unakatwa
Kuna nafasi za ajira mme tangaza kwenye tangazo mme andika kua ni internal job advert je na sisi ambao hatupo/hatujawahi omba kazi apo tuna ruhusiwa kuomba???
 
Tafadhali tunaomba ufafanuzi uku kwetu Neruka mtoni kijichi mtaa wa Masangula hakuna umeme toka jana mida ya saa 2:00 usiku hadi hivi sasa.Je hii ni itilafu au mgao? Maana ni muda wa zaidi ya masaa 19 sasa.
 
Back
Top Bottom