TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
nipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"

Dear Tanesco team

Thanks for assistance kwa mrejesho ni kabla tar 111/02/2018 surveyor alinipigia club na kuja fanya tathmini na makadirio husika na tar 23/02/2018 nilipata sms kuhusu invoice Lusaka

Nina maswali machache kwenu according to REA kuvutiwa umeme.kwa gharama halisi ikiwemo nguzo moja ni TZS 177000 VAT inclusive (vijijini) sasa naomba patiwa maelezo maana nimechargiwa TZS 454700,je gharama iliyozidi nalipia audio nachangia nini?

Thanks
325068a368439597ec40d0ad5194ff60.jpg
 
Mchanganuo mzuri kabisa...
naomba kuuliza..je naweza kulipa gharama hii ya REA kuweza kupata huduma hii mapema zaidi bila kumsubiri mkandarasi wa REA? Survey imeshafanyika ila ni mda mrefu sasa waliopata umeme ni wachache sana.
shukrani.
 
nipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie

Miradi ya Rea au yeyote ile mteja anapaswa kufanya maandalizi baada ya miundombinu kumfikia kwa kuwa hakuna kinachoweza kuendelea bila miundombinu kuwepo mkuu wetu
Mchanganuo mzuri kabisa...
naomba kuuliza..je naweza kulipa gharama hii ya REA kuweza kupata huduma hii mapema zaidi bila kumsubiri mkandarasi wa REA? Survey imeshafanyika ila ni mda mrefu sasa waliopata umeme ni wachache sana.
shukrani.
 
Miradi ya Rea au yeyote ile mteja anapaswa kufanya maandalizi baada ya miundombinu kumfikia kwa kuwa hakuna kinachoweza kuendelea bila miundombinu kuwepo mkuu wetu

Miundombinu yote tayari imeshafika na survey imeshafanyika na baadhi ya watu kuunganishiwa umeme...ninachoomba kujua ni kama naweza kulipa gharama hii ya tsh. 150,000+VAT kupata huduma hii mapema zaidi?
shukrani.
 
Nipo kijiji kinaitwa mpiji(kibaha) mwaka Jana 2/3/2017 tuliletewa nguzo tukaambiwa umeme unakuja baada yaa miezi miwili zikachukukiwa kwa kigezo kwamba zilikosewa kuletwa pale sisi umeme utafika mwrzi wa 8 /2017 sasa adi sasa hakuna chochote kilicho fanyika zaidi ya kuweka alama tu.je ningependa kujua uku lini utafika mkuu?
 
Kuna mradi unakuja huko rea peri-urban soon mkuu fanyeni wiring umeme unakuja
 
Tanesco ilala mtaa wa bukoba hatuna umeme kuanzia saa nne usiku hadi sasa na joto hili tunawaomba mufanyr jitihada za kutatua 24.02.18
 
Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.

Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.

Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.

Ushauri tafadhali.

Asante

Mkuu nahitaji umeme wa TANESCO...nilipo kuna mradi wa REA na baadhi ya watu wachache wamewashiwa wengine tukaambiwa tusubiri...imepita mda mrefu hatujatumiwa hata ujumbe kwenda kulipia...naweza kulipa TANESCO nipate huduma hii?

Unaishi sehemu gani mkuu?
 
Mita yangu 3phase mita namba 43146855093 imegoma kusoma hata balance haionyeshi.pia inadisplay namba tofauti
Zile za mwanzo maana mwanzo ilikuwa inadisplay namba ya mita sasa naona imekuja namba ingine kabisa
 
Tunaomba taarifa hata inbox tukufikie mpnendwa mteja

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Kaka wakikujibu unitag

Nimekamilisha taratibu zote za kupata Umeme ,lakini sipati majibu yanayoeleweka
 
Back
Top Bottom