Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTanesco nimerudisha fomu huu mwezi wa pili Serveyor hawajaonekana nini tatizo?
Sh ngapi?Kama imechezewa na kujiblock unatoa taarifa ofisi ya eneo lako na kulipia kisha utabadilishiwa
Huu ukurasa ni kwa ajili ya huduma kwa wateja na taarifa zinazohusu shirika la Umeme Tanzania, hivyo agenda nyingine sio sehemu yake mpendwa mteja wetuJe, ni kweli Tanesco mna kikosi kazi ambacho huweza kumchukua mtu mateka sababu ameandika mambo msiyoyapenda
Hii sio huduma kujua muundo na utendaji kazi wenu???Huu ukurasa ni kwa ajili ya huduma kwa wateja na taarifa zinazohusu shirika la Umeme Tanzania, hivyo agenda nyingine sio sehemu yake mpendwa mteja wetu
Shirika linafanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi, jukumu letu ni kuzalisha, kusafirisha na kusambaza umeme ambalo lipo kwa mujibu wa sheria, majukumu mengine unayoyataja yapo kwenye tasisi nyingine kwa mujibu wa sheria za Nchi yetu.Hii sio huduma kujua muundo na utendaji kazi wenu???
Sio huduma kuwafahamu mnaoniuzia umeme?
Okay, nashukuru.
Tumepokea taarifa mkuu
Mkuu lipitia deni hilo ili uweze kununua umemeHabari, nna tatizo mita yangu inagoma kununua umeme, ilikua na deni nimeambiwa mpaka niende ofisin jumatatu, kiukweli kwangu itakua ngumu kusubir mpaka jumatatu. Naomba kama kuna namna ya kuweza kupata umeme haraka iwezekanavyo. mita no: ni 24211636683
Kuna baadhi ya maeneo ambayo hayana umeme kutokana na athari ya mvua na upepo mkali wataalamu wetu wanafanyia kazi mkuu