Thanks for quick response. I appreciate that. Good evening
 
[QUOTE="TANESCO, post: 21083032, member: 23Male so Eneo haswa...... namba ya simu......[/QUOTE]
Majani mapana njia ya Galanos au maeneo ya Maleso yaani niusumbufu mkubwa na tunabembeleza hatusikilizwi kama vile huduma hii wanatupa msaada

Meneja ondoa hawawatu wanaozungukia eneo hili wanakuchafua unaonekana hufanyi kazi
 
Mafundi nimewaona. Thanks mkuu
 
taratibu gani za kufuata ili kubadilishiwa mita?
maana mimi nina kita umeme ukikatika tu na ukija kurudi nyumba yetu tu inakosa umeme mpaka tanesco wapigiwe waje wafungue mita na wawashe na hii inachukua mpaka siku 3 ukitoa taarifa ndo tanesco wanakuja
imekuwa kero sana, mpaka imefikia kipindi naona customer care wamikariri namba yangu maana nikipiga hawapokei, nikibadili namba nikipiga wanapokea
 
Tunaweza kupata namba yako ya simu
Dah me nimechoka sasa ni siku ya NNE Leo hawajafika wanadai kuna sehemu zenye maafa cjui Mara kuna sehemu muhimu ndio wanashughulikia kila ukiwapigia simu ni sound tuu na samahani nyng but hawatokei,, aisee njoon tu muitoe hii mita yenu nishazowea kiza sasa,, yaan kama kungekuwa na mashirik mengne ya kusambaza umeme kama ilivy kweny mitandao ya simu kiukweli ningeshahama Tanesco,, haya ngoja nisubiri mpk hapo watakapojisikia kuna pengne wakinirekebishia nitawaingizia hasara
 
nashukuru japo mmnilaza Giza siku NNE hatimaye Leo wamenirekebishia ila mjitahidi jamani hawa watu wa emergency wanakuwa overloaded
 
nashukuru japo mmnilaza Giza siku NNE hatimaye Leo wamenirekebishia ila mjitahidi jamani hawa watu wa emergency wanakuwa overloaded
Pole sana mkuu ndiyo shirika letu hili
 
Tanesco Emergency Ilala ni Upuuuzi mtupu nimereport tatizo SAA 5 asubuhi mpaka dakika hii no respond yoyote, hivi kile kitengo
ni cha emergency au nini vile na nagari mnaandika emergency,Upuuuuzi tu mpaka Nyumba ziwake moto,Upuuuuuzi
na wanauliza unareport kwa Mara ya kwanza au,kwa hiyo MTU apige simu Mara kumi aise wakutumbuliwa nyie!!!!!!
 
Pole sna tunaweza kupata namba ya taarifa uliopewa baada ya kuripoti au namba ya simu. Tunaomba radhi sana kwa hili
 
Tanesco wanatutesa sana sisi wakazi wa Goba mwisho njia ya kwenda makongo, kila siku ya mungu wanazima umeme asubuh na kurudisha saa moja jioni, biashara zetu za saluni zinadoda kila siku kwa kukosa umeme.

Au mpaka tumwambie gwajima? Kama ni mgao why iwe ni sisi tu kila siku?
 

Goba mwisho kila siku hakuna umeme, mnazima saa mbili asubuh mpaka saa mbili usiku ndio mnarudisha shida ni nn?

Tunapiga simu tanesco mbezi beach jibu lao tutafatilia kila siku jibu hilo hilo au mpaka tupeleke bungeni ?
 
Ili niwe tarrif ya chini inakuwaje maana natumia unit 84 kwa mwezi....na nina miezi zaidi ya sita.
 
Tanesco ongezeni magari ya emergency kama sisi eneo letu tunahudumiwa na gari moja tu maana kila siku wanaokuja ni wale wale
wakija unawaona kabisa.

wamechokaaaa hata maelezo ya nini kimetokea hawachukui wanawasha na kuondoka, mnawatesa sana hawa emergency,unapiga simu unapewa namba 1000,manake hiyo gari izunguke namba zote hizo ndo ufikiwe
mnakaribisha hata mianya ya rushwa,bahat mbaya sina hela ila ningekuwa nazo ningekuwa nawapa hela tu maana nyumba zote wanazochukuaga hela ukipiga simu tu haichukui muda wamefika
 
Bado nauliza kwa nini hamtaki kutuunganishia umeme? Imagine nimelipa laki 6 kuunganishiwa sasa yapata miez 6 je na hakuna linaloendelea.

Si bora ningezungusha hizo hela kwenye biashara? Kweli tunahitaji shirika m-badala wa Tanesco mmelala sana alafu inaonekana hampo serious
 
Maji yanavuja kwa wingi huku Tabata Mwananchi mtaa wa kwa JB. Ni mara ya pili nawaaambia humu. Nimepiga ofisi zenu za tabata wakasema wataleta mafundi LAKINI NITAGHARAMIA MATENGENEZO.

Sasa hapo nikawakatalia maana bomba linapovuja ni upande wa DAWASCO. Na pia ni jukumu lenu kufanya matengenezo iweje tena mkipewa taarifa mnataka malipo?

Panapovuja ni zaidi ya sehemu 5 ndani ya mita 200 za bomba lenu.
 
Mkuu vipi tanesco waje wakuzibie bomba la maji? Hauko serious na mada.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Unachanganya habari mkuu!

Thread ya DAWASCO ipo, itafute ili uwasilishe malalamiko yako huko ndiyo yataweza kuwafikia wahusika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…