TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Unachanganya habari mkuu!

Thread ya DAWASCO ipo, itafute ili uwasilishe malalamiko yako huko ndiyo yataweza kuwafikia wahusika...
Ohooooo... Ahsanye mkuu. Hata hivyo wataiona huku huku. Samahani wadau.
 
Hodi wana jamvi kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana mpaka leo hii umeme bado siyo wa uhakika.
Nemetembelea huku Nachingwea toka juzi umeme ni tatizo unawaka saa 11 alfajiri na inapofika saa 3 au 4 asubuhi unazima.

Na hauwaki tena mpaka saa 11 alfajiri
Hata hapa Dar pia umekuwa ukikatika bila mpangilio hasa maeneo ya Mbagala Temeke na Tandika Tenesco tuelezeni tatizo hili litakwisha lini tumechoka.
 
Mkuu habari za nachingwea ukitoka huko nenda masasi pita ruangwa mpaka liwale inshu ya umeme ni kuwa sahv kuna shida ktk mashine za kuzalishia umeme zilizopo mtwara nyingi ni mbovu na hazikidhi mahitaji yaliyopo kwa sasa,in short kuna mgao
 
Nisaidie mkuu unatakuniambia kuwa huu umeme wa gesi bado haujaanza kutumika bado yanatumika magenereta?
 
Fika ofisini kwa maelezo zaidi.

Tanesco
"tunaangaza maisha yako"
Usitake kutia watu kichefuchefu unaangazia maisha kwa giza halafu unasema fika ofisini kwa maelezo zaidi kwani ukitoa maelezo hapa kuna shida gani?

Acha mambo hayo ya kizamani yamepitwa na wakati.
 
Tanesco ukishalipia kufungiwa wankusumbua mara vifaa hamna duu jaman mnachosha
 
Hivi tanesco mbezi ya kimara ndo nini mnatufanyia kila jumapili mnakata umeme hadi usiku wa saa sita huko.......

Yaani kama leo ndo mmenikera zaidi mmefanya watu tunashindwa kumalizia league za ulaya bhana yaani mechi zooote nimezikosa.
Mnakera saaaaana yaaaani
 
Hata maeneo ya kimbamba ni kiza totoro utafikiri tuko kijijini
 
kwanini maeneo ya kiluvya kwa kawawa na maeneo yanayo zunguka umeme unakatika kila mara bila hata taarifa????!!!

tunaomba taarifa hata kama kuna matengenezo,

tanesco yenye ufanisi ni lazima iwajali wateja wake sio kuwapuuza,

mteja ni mfalme!!!
 
Pole sna tunaweza kupata namba ya taarifa uliopewa baada ya kuripoti au namba ya simu. Tunaomba radhi sana kwa hili
niliomba kuwekewa mita miezi michache iliyopita na walishaniwekea tayari ila baada ya siku zaidi ya arobaini, siku waliyokuja kunifungia mita fundi aliyekuja alikuwa ni mtu ninayemfahamu, nikamuuliza sababu ya kuwekewa mita baada ya siku arobaini alichonijibu ni kuwa wanapewa mita chache wanaweza kufanya kazi mpaka saa saba au nane wamemaliza kazi mita zimeisha na wakirudi ofisini wapaki gari inakuwa wanaonekana hawafanyi kazi.

wapeni mita za kutosha na ikiwezekana wapeni motivation kwa kila luku wanayofunga automatically hizo siku za kusubiri zitapungua na huduma itakuwa nzuri zaidi
 
Tangu jana usiku napoiga hizi namba +255 784 768 584 ( haipatikani kabisa) +255) 716 768 584 haipokelewi kabisa. though nilipopiga ya mbezi beach ilipokelewa.

Kama tuna shida tufikishe kwa njia gani? Landline +255) 222 700 367 nayo haipokelewi.
 
Tangu jana usiku napoiga hizi namba +255 784 768 584 ( haipatikani kabisa) +255) 716 768 584 haipokelewi kabisa. though nilipopiga ya mbezi beach ilipokelewa. Kama tuna shida tufikishe kwa njia gani? Landline +255) 222 700 367 nayo haipokelewi.
Mkoa..wilaya...simu yako...tatizo
 
Rimote za umeme huu wa mita za kwenye nguzo ni vibovu na vinaharibika haraka.

Kwa nini kununua kile kilimoti ni gharama kubwa kuliko kuingiza umeme kwa sisi wa vijijini???????

Tunaomba iwe ni moja ya huduma bure kwa mteja kama vile ilivyo meter ikiharibika.
 
Remote umeuziwa separate mkuu?
 
Ndugu mpendwa mteja tunaomba jina ulilolipia na namba ya simu

Hapa nyumbani Umeme unakatika Mara nyingi,Lakini kwa majirani tuliounganishwa kwenye nguzo moja wao Umeme unawaka. wikendi Umeme hauwaki kabisa.

Nimeenda Tanesko Mara ya nne Leo wanatoa ahadi lakini hawaji kunisaidia.Hii wiki ya pili Sina umeme.niko Chato Geita.
 
Hapa nyumbani Umeme unakatika Mara nyingi,Lakini kwa majirani tuliounganishwa kwenye nguzo moja wao Umeme unawaka. wikendi Umeme hauwaki kabisa.Nimeenda Tanesko Mara ya nne Leo wanatoa ahadi lakini hawaji kunisaidia.Hii wiki ya pili Sina umeme.niko Chato Geita.
Poleni Chato. Mkulu ana taarifa lakini kwamba hata nyie watu wa nyumbani hamna umeme??
 
Swali.
Nilinunua LUKU ya 4.3 million kwa ajili ya ofisi. Wakati zikiwa zimebaki kama unit 8000 na kidogo, ofisi yangu ikahamia kwenye jengo jipya ambapo luku ni unit 00. Na jengo tunalohama, ikaingia ofisi nyingine ambayo ni tawi la ofisi yetu na hivyo kushindwa kung'oa mashine ya luku.
Sasa swali, je, naweza kupunguza unit kutoka mashine moja kuhamishia mashine nyingine?

Huwa wanahamisha unit zote ukifatilia baada ya mwezi toka mita kufungwa
 
Back
Top Bottom