Poleni sanaSahz hapa kibaha washakata tena ,Kwa Leo n mara ya 3
Hii kiu ya viwanda aliyonayo Mh Rais, haiweze kukatwa na kiwango cha umeme tulionao. Nipo huku Kibamba yaani hali ya ukatikaji wa umeme ni ya hali ya juu sana. Ndani ya masaa 24 yaliyopita Nafikiri ni masaa 3 tu ndo yalikuwa na umeme mengine ni hola.
Kiwanda gani kitahimili na kuweza kujiendesha kibiashara.
Embu TANESCO toeni mkono wa shirika kwa Mh Rais ili njozi ya viwanda iwezekane.
Wameshazoea kazi watumbuliwe! Watu wanasuffer mtaani hawana kazi!Ni kweli Kimara Hasa Huku Matonya wanakera sana
SawaKulikuwa na tatizo kidogo mkuu tumelifanyia kazi
Bora umesema mkuu hasara niliyopata siyo mchezoHabari Wakuu
Leo ni siku ya tatu toka umeme ulipokatika huku kwetu na haujarudi tena
Nmeshapiga sana simu makao makuu lakini line yao iko busy muda wote. Nimejaribu pia kupiga Tawi lao la kimara simu either haipokelewi au iko busy (pengine wengine wanapiga bila mafanikio)
0768 985 100 Tanesco makao makuu
0717 379 696 Tanesco kimara
Si mara ya kwanza hii kitu kutokea, miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na tatizo kama hili ulikuja umeme mkubwa ukaunguza vitu.. na ni eneo hilihili
Kama kuna namna yoyote ya hawa jamaa kupata huu ujumbe naomba uwafikie.
Nawasilisha
Meter zingne zinakuwa sio nzuuri...Ni Kwanini tokea nibadilishiwe miter matumizi yameongezeka
Naomba jibu la kuridhisha
Namba jibu la kuridhishaSijui kama Tanesco bado mko humu ? Kama mpo naomba kuuliza. Kwa wilaya ya Kibaha mtu akishalipia connection fees. Hua anaungiwa umeme baada ya siku ngapi