Walifuta sababu haukuwa na authority!Ila huu wa Leo ni kweli makao makuu Tanesco wameutoa so nakubaliana nawe ni taarifa Rasmi ya Kushare nasi!Tunashukuru Kwa Taarifa
 
Mbona mkuu sielewi kinachokuliza hapa? Tatizo ni nini hasa?
 
Hawa Tanesco mimi huwa nashindwa kuwaelewa kabisa!

Unaenda kuomba kuunganishwa umeme, wanakuangalia tu.

Wanakupa fomu unajaza, wanakuangalia tu.

Wanakupa fundi wao akafanye tathmini, wanakuangalia tu.

Fundi wao anatoa makadirio ya gharama, wanakuangalia tu.

Wanakupa gharama unazotakiwa kulipia, wanakuangalia tu.

Unaenda kulipia, wanakuangalia tu.
Ukishalipa tu, wanakuambia nguzo hakuna, subiri miezi mitatu!
 
wanasubiri kenge azame shimoni ndio wamwagie maji ya moto!!!
 
Mbona TANESCO wamekanusha hii taarifa yako nyoko wewe? Unastahili kupigwa ban maana umewatukana bure hao Mods!!
 
Huo mfumu una faida zip Kwa wateja

Ngoja tusubiri tuone! Ila rekodi zinaonyesha serikali huwa inashindwa vibaya ktk kuendesha mifumo yake, soko huria inatakiwa waliwezeshe!! Sasa Kutoka 'soko' huria kwenda monopoly, yangu macho!!

By the way: id yangu haijawa hacked, msiniulize maswali.
 
sema maslah yako yameanza kuguswa unapiga yowe tulia namba zisomeke vizuri
 
Huo mfumo mpya wa malipo ya Luku unaweza kuizika kabisa Tanesco maana huenda wakashindwa kupata fedha za operations zao kwa wakati maana urasimu wa kuzipata hizo pesa unaweza kuchelewesha utendaji wa Tanesco.

Vv
 
sema maslah yako yameanza kuguswa unapiga yowe tulia namba zisomeke vizuri
Labda kama yameguswa basi ni kama kutakuwa na usumbufu upatikanaji wa umeme. Shughuli zangu binafsi (biashara) zinategemea umeme karibu 20hrs.
 
Labda kama yameguswa basi ni kama kutakuwa na usumbufu upatikanaji wa umeme. Shughuli zangu binafsi (biashara) zinategemea umeme karibu 20hrs.
ndio kuguswa kwenyewe na bado gharama lazima ziongezeke funga mkanda...
 
Inatia moyo, ila huko mbeleni msikimbie maswali na malalaniko ya wadau wenu PIA kwa siku za usoni msije mkauacha HUKIWA huu uzi.

KARIBUNI.
 
Inatia moyo, ila huko mbeleni msikimbie maswali na malalaniko ya wadau wenu PIA kwa siku za usoni msije mkauacha HUKIWA huu uzi.

KARIBUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…