Tafadhali pitia website yetu www. tanesco.co.tz kuona mikakati ya kuonbeza na kuboresha upatikanaji wa umeme nchini,

Elimu ya matumizi bora ya umem inatolewa mikoa yote nchini kupitia timu ya wataalamu wetu waliopp nchi nzima
 
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Namba ya taarifa... mwezi uliopewa namba hiyo....
ENEO.....KONGOWE
WILAYA.....KIBAHA MKOA WA PWANI
SIMU ....0755759999
Hatujapewa namba na Tanesco mheshimiwa. Ndio tunaomba kuunganishiwa umeme baada ya kulipa connection fees.

Thread number 4190
 
Tunaomba namba yako ya simu, eneo, namba ya taarifa tukupatie ufafanuzi na kutatua tatizo lako mpendwa mteja
Hi!!

Tupo gizani kwa zaidi ya saa 30!! Jumapili nilinunua umeme kupitia Selcom lakini kumbe namba 2 zilikuwa hazionekani vizuri. Zikafanyika several attempts za kuingiza token lakini haikukubali. Nikaamua kununua umeme mwingine kwa Tigo Pesa. Muda baadae, ile token ya Selcom nayo ikakubali.

Na ingawaje hivi sasa units zinazoma kwenye LUKU lakini umeme ndani hatupati!

Tupo Mbagala. Tangu jana tushapiga sana Kituo cha Mbagala but seems like all incoming calls zipo blocked manake pamoja na kupiga zaidi ya mara 50 lakini mara zote hizo tunajibiwa namba inatumika!!!!!!!!!!!

Namba zao nyingine ndo hazipatikani kabisa!! Nikapiga Temeke Regional Office mara kadhaa, hakuna tunachoambiwa zaidi kwamba watawaambia Mbagala watupigie lakini hamna lolote na siku ndo hiyoo imeondoka hatujapigiwa and I doubt ikiwa TUTAPIGWA!

Nimepiga Call Center lakini nako simulizi ndo ile ile!!

Nime-file complaint (Ticket ID: 142) via your web portal but I don't know how long does it take for the status to change from NEW to RECEIVED manake zaidi ya saa 3 zimepita sasa ( at 05:40) lakini Lalamiko halijapokelewa (Status: New)!

Now....

Mbagala nimepiga

Regional Office nimepiga

Call Center Nimepiga

Online Complaint filed...

What else?! Hivi kweli inaingia akilini mtu aache kila kitu na badala yake aende ofisi za TANESCO just kuripoti LUKU failure?! If so, nini maana ya hizi namba mnazotuwekea?!

Anyway, niambie cha kufanya lakini kwenda ofisi za TANESCO sio option kwangu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
 
Tafadhali pitia website yetu www. tanesco.co.tz kuona mikakati ya kuonbeza na kuboresha upatikanaji wa umeme nchini,

Elimu ya matumizi bora ya umem inatolewa mikoa yote nchini kupitia timu ya wataalamu wetu waliopp nchi nzima
Mkuu hili la kulipia kuanganishiwa service line na kukaa kipindi cha kukaria miezi 3 limekaaje?
Maana ninacosikia ni kuwa vifaa (nguzo+nyaya )hakuna kabisa kwa zaidi ya miezi miwili.
Eneo Wilaya Mkuranga.
 
Ndugu mpendwa mteja kama ambavyo tumewasiliana na wewe na kukusikiliza tunaomba tufanyie kazi swala lako
 
Ahsante sana... much appreciation!
Karibu sana, meter yako itakuwa imehisi unataka kuiba umeme ndio maana ikajipeleka tempering mode nivyo tutaifungua na namba maalumj
 
Karibu sana, meter yako itakuwa imehisi unataka kuiba umeme ndio maana ikajipeleka tempering mode nivyo tutaifungua na namba maalumj
Hii inatokana na kuweka umeme kwa kukosea mara nyingi
 
Chapishe vipeperushi jinsi ya kutumia hizi meter mnazofunga. Watu mnaowafundisha wanaondoka na wakati mwingine wakati wa kufunga anayefundishwa haelewi
 
Chapishe vipeperushi jinsi ya kutumia hizi meter mnazofunga. Watu mnaowafundisha wanaondoka na wakati mwingine wakati wa kufunga anayefundishwa haelewi
Ndugu mpendwa mteja vipo tayari ikiwemo online magazina na nyaraka nyingine
 
Naomba kuuuliza kwa huduma ya kuunganishiwa umeme Wa REA je, Mwananchi anatakiwa kujigharamia bomba (chuma cha kuunganishia umeme toka kwenye nguzo na kuingia ndani ya jumba??? Au ni sehemu ya gharama ya Tanesco)
 
Kama utataka kuweka chumanau braket ni gharama za mteja na sio Tanesco
 
TANESCO,TANESCO, TANESCO, mnatuumiza. Mungu awatende sawa na mnavyotutenda. Mita Miezi Miwili, terms zenu hamzifati. Mkuru akija Mapumziko Lazima aelezwe labda nife Leo [emoji753]
 
TANESCO,TANESCO, TANESCO, mnatuumiza. Mungu awatende sawa na mnavyotutenda. Mita Miezi Miwili, terms zenu hamzifati. Mkuru akija Mapumziko Lazima aelezwe labda nife Leo [emoji753]
Tunaomba taarifa kamili ya eneo, namba ya simu, namba ya taarifa, wilaya na unacholalamikia
 
Tunaomba taarifa kamili ya eneo, namba ya simu, namba ya taarifa, wilaya na unacholalamikia
Nilitoa taalifa, mkaniunganisha na wahusika haikusaidia, majibu niliambiwa mita hazipo zikija nitafungiwa, Leo nimeenda ofisini nikapewa majibu hayohayo, nimelipia trh12/03/2018.hadi sasa majibu yale yale. Atakuja Mapumziko tutauliza.
 
Hizi namba ulizoweka hapa ni almost rubbish, weka zako tukupigie ili wewe ndiyo uwapigie, tukiwapigia sisi wanatudharau sana na wala hawafanyi chochote

Hiyo picha ni ya watendaji wako wa Morogoro ambao wametushinda labda wewe uwaambie waje watengeneze, tutakutumia nyingine nyingi tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…