TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
*TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA*

NAMNA YA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUPITIA SIMU NA MITANDAO YA KIJAMII ILI KURAHISISHA UFUMBUZI WA TATIZO HUSIKA.

1.ENEO HUSIKA

(Wateja wanaweza kuishi eneo moja lakini wakahudumiwa na njia (line) ya kusambaza umeme au Transfoma tofauti.)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine Wateja wa mtaa/eneo moja wanaweza kuwa na umeme na baadhi wakakosa umeme, hivyo ni rahisi kuwasiliana na Mteja husika kwa simu.)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Tupatie ufafanuzi wa jinsi ya kukufikia, ili mafundi wetu watatue hitilafu kwa haraka.)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA, UJUMBE GANI UNATOKEA MARA UWEKAPO UMEME?

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.IWAPO UNASHINDWA KUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA IPI?

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme.

TUNAENDELEA KUWAOMBA WATEJA WETU USHIRIKIANO WENU KATIKA UTOAJI TAARIFA SAHIHI ILI TUWEZE KUKUPATIA HUDUMA BORA ZAIDI.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

*TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO*

*Tovuti* www.tanesco.co.tz,

Mitandao ya kijamii

*Twitter* www.twitter.com/tanescoyetu,

*Facebook* https://www.facebook.com/tanescoyetultd.

IMETOLEWA NA:

*OFISI YA UHUSIANO*
*TANESCO MAKAO MAKUU*

10/06/2018.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ya viwanda vipi umeme kukatika?

Ndg Mpendwa mteja,ufafanuzi wa swali lako ni kama ufuatavyo:-
Mkokozi pamoja na Lugwadu mradi bado unaendelea. Mkandarasi SENGEREMA ENG REA III (1) bado ana muda wa kutosha kabla ya Mkataba wake kuisha mwakani 2019. Wateja wote ambao wako ndani ya eneo la Mradi kwa mujibu wa Mkataba watapata Umeme kipindi hiki. Kuhusu Pangani KIBAHA ambapo nguzo zimesimama tu, kuna Mradi wa Densification (kuongeza wigo) ambao ulisimama kutokana na Mkandarasi kumaliza scope kwa mujibu wa Mkataba. Kutokana na ongezeko na mahitaji ya Wateja zaidi, Mkandarasi STEG ENG ameshapewa Mkataba mwingine wa kumalizia mahitaji ya Wateja 4600 wa Single phase na 66 wa Three phase kwa Mkoa wa Pwani. Mkandarasi ameshapata vifaa na muda si mrefu atarudi site kumalizia kazi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, kwa ufafanuzi mzuri. Pangani- Kibaha tunashukuru.
Mkokozi -Lugwadu msukumo unahitajika Umeme ni maendeleo kuleta fursa mpya.
 
Mie mnanikera sana eti wanaopata huduma niwale wabarabarani tu ambao wako karibu na line wengine tuliombali naline kuu tunapaswa kulipa garama kubwa ili uunganishiwe umeme hebu liangalieni suala hili maana tunapesa zakuunganishiwa umeme ila tatizo nipesa zakuchangia nguzo

Mpendwa mteja tunaomba swali lako vizuri na eneo na namba ya simu tukusikilize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Dodoma wilaya chemba namba 0789025162 nahitaji kuunganishiwa umeme ila niko takribani mita 500 kutoka laini ilipo sasa nashindwa garama zakuchangia nguzo maana zinahitajika karibu nguzo tano mpaka sehemu nilipo msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi matumizi yangu ya umeme kwa mwezi ayazidi unit 36 inanilazimu kununua umeme wa sh 10,000 napata unit 28
Nakaa nao huo umeme kati ya siku 20 hadi 18
Inanilazimu kununua tena wa sh 10,000 navuka nao mbaka mwezi mwingine
Kifupi matumizi yangu ni ya chini sana
Kwa nini bado nipo tarif 1
Si mnibadilishie tu nyie wenyewe huko , au ndio mmeamua kunidhulumu haki yangu
hizo compiuter zenu zinafanya kazi gani
Mmeshamuona mteja wenu anamatumizi ya umeme ya chini ya unit 40 kwa mwezi kwa nini nyie wenyewe msimbadilishie kutoka tarif 1 kwenda tarif 4 ambae ndio haki yake ipo kule, kwa nini mbaka mteja alalamike kwenu ndio mnambadilishia ?kama hakulalamika ndio inakuwa imekula kwake?
Ebu anzeni sasa kwangu kutenda haki kwa Watanzania wasiopenda kulalamika nibadilisheni nyie wenyewe huko makao makuu
Vigezo na masharti nitazingatia
Namba zangu za mita semeni tu niwape huko mnicheki kama ninakizi vigezo nipo bunju A
Mkoa wa Dar es salaam,
Umeme niliunganishia mwaka jana na nyie wenyewe kutoka makao makuu ubungo baada ya kulalamika humu humu kupitia uzi huu huu,
Pale tanesco tawi la tegeta sina iman nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ADK

Tunaomba namba yako ya mita tuhakiki hilo

Au nambieni niende Tanesco tawi gani lingine nikajaze fomu lakini sio pale tawi la tegeta wale awajielewi kabisa
Nlilipa kila kitu nilikaa miezi 8 ndio naletewa nguzo ya umeme, ikabakia mita na waya nimekaa tena miezi kadhaa ndio kupitia ukurasa huu mkaniona miaka kunifungia nyie wenyewe badala ya Tegeta
Sasa naitaji mnitoe kwenye tarif 1
Mniweke kwenye tarif 4
Namba yangu ya mita ni 24219180114
Mkiniambia niende Tawi la Tanesco Tegeta kule mie siendi kupoteza muda wangu kwa wale jamaa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kujua hili tatizo la kuunganishiwa umeme kwa wilaya ya Temeke maeneo ya chamazi yataanza lini hasa kwa watu wanahitajika kuwa na nguzo kuanzia moja .

Maana kuna watu wamelipia tangu mwezi wa tano mpaka leo wanaambiwa kuna tatizo la nguzo.
 
Umelipa kwa jina gani? Kiasi na namba yako ya simu tufatilie swala lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom