TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Umelipa kwa jina gani? Kiasi na namba yako ya simu tufatilie swala lako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuandika jina hapa ni ngumu sana ila hili tatizo halijanikuta mimi peke yangu kuna watu wengi tu wanalalamika so jaribuni kuangalia huko ofisini kwenu ili muweze kutatua tatizo kwa ujumla sio kwa mtu mmoja tu aliyekuja kulalamika.
 
Ingekuwa kampuni ya simu najua ningekuwa nimefanyaje nimepata tatizo LA kununua umeme nimewapigia cm Sikh mbili kila baada ya lisaaa lakini haikupokelewa tofauti vocha kuisha .ILE NAMBA YA HUDUMA KWA MTEJA IFANYENI IWE BURE

Haya namna ya kupata key change number ?
 
Tunaomba tukusikilize hapa na kukuhudumia.tunaomba namba yako ya simu na tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nimetofautiana na majirani zangu ambao matumizi yapo ni sawa na yangu ilihali Mimi nalill

Ufafanuzi naomba matumizi ni sawa na wenzangu ila Mimi nagaramia zaidi wao gharama xao ziko chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo kikubwa ni matumuzi yako na sio matumizi ya jirani zako.kwani kila mteja anawekwa kundi linaloendana na matumizi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom