Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unit 50??? mbona yangu imekuja na unit 10 tu??!Inategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapokea unit 40 mara baada ya kununua umeme kufidia hizo mpendwa mtejaunit 50??? mbona yangu imekuja na unit 10 tu??!
Umelipa kwa jina gani? Kiasi na namba yako ya simu tufatilie swala lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu wa Tanesco nahitaji kubadilishiwa tarrif matumizi yangu ni madogo mno kwa mwezi
Mbaya sanaKunamtu ameunganisha umeme kwa jirani nikawaambia mbaya na kunatahadhari plz tujue madhara yake plz
sawa ngoja nilipie nioneUtapokea unit 40 mara baada ya kununua umeme kufidia hizo mpendwa mteja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba tukusikilize hapa na kukuhudumia.tunaomba namba yako ya simu na tatizoIngekuwa kampuni ya simu najua ningekuwa nimefanyaje nimepata tatizo LA kununua umeme nimewapigia cm Sikh mbili kila baada ya lisaaa lakini haikupokelewa tofauti vocha kuisha .ILE NAMBA YA HUDUMA KWA MTEJA IFANYENI IWE BURE
Haya namna ya kupata key change number ?
Nataka kuhamishiwa tariff ndugu nimeliuliza hili na namba za mita nilisha ziweka
Ndugu mpendwa mteja tulikuelezea kuwa upo kundi sahihi la.matumizi ya nyumbaniNataka kuhamishiwa tariff ndugu nimeliuliza hili na namba za mita nilisha ziweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Maezo ni hayoNdugu zangu wa Tanesco nahitaji kubadilishiwa tarrif matumizi yangu ni madogo mno kwa mwezi
Nielekezeni nifuate utaratibu UPI Niko chanika nyeburu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nimetofautiana na majirani zangu ambao matumizi yapo ni sawa na yangu ilihali Mimi nalill
Kigezo kikubwa ni matumuzi yako na sio matumizi ya jirani zako.kwani kila mteja anawekwa kundi linaloendana na matumizi yakeMbona nimetofautiana na majirani zangu ambao matumizi yapo ni sawa na yangu ilihali Mimi nalill
Ufafanuzi naomba matumizi ni sawa na wenzangu ila Mimi nagaramia zaidi wao gharama xao ziko chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaishi kijijini, sisi tuliopo mjini Tunapolipa bill zetu huwa tunakatwa kiasi fulani cha pesa kuwalipia nyinyi.Mi napata unit 72 kwa elf 9 tu