Tanesco Jana majira ya saa 4 usiku umeme kwangu ulikatika,Kwa Siku za karibuni sikuwaza kuangalia Units kama zipo za kutosha au laaa,Sasa chaajabu kwa majirani umeme kwao unawaka kama kawaida,Nikadhani labda ni units zimeniishia,Nikanunua ila kila nikiingiza namba hakuna connection kati ya mitre yangu (Customer Interface Unit) na kale kabox kalikofungwa kwenye nguzo,Tatizo linaweza kuwa ni nini? Tafadhali nisaidieni vitu vinaharibika kwenye fridge.
 
Je umeshawahi kupata tatizo hilo au leo tu? Tunaomba taarifa kamili za eneo, wilaya namba ya zimu namba ya mita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ushauri. Naelekea mwezi was tatu Sasa tanesco kimara hawajaniletea umeme baada ya kulipia. Je Ni taratibu gani za kufuata maana nafikiria kuwafungulia mashitaka kwa kukaa na peas yangu nje ya mkataba was siku sitini.
Nikienda kuwauliza majibu yao Ni mabovu sana
 
Nanunua umeme kwa airtel money natumiwa SMS kuwa wasiliana na Tanesco wakupe key charge shida ni nini? Namba ya mita 24213776032

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco si kwamba nawasumbua,Mniwie radhi,Numeeleza shida yangu hapo juu,Mkahitaji namba ya simu na mitre namba pamoja na eneo nililopo,Sasa mda umeenda sipati jibu ili kujua napataje msaada kutoka kwenu au kujua shida ni nini kusudi nitafute ufumbuzi wake,Kulala Giza Tena Leo Jamani?
 
Tunaomba utupatie tena mpendwa.mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepokea taarifa mpendwa mteja mafundi wetu watafika kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO GONGOLAMBOTO MNAKERA.
TOKA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 30/08/2018 SAA TATU USIKU, TUMEWAPIGIA SIMU KUWAJULISHA HITILAFU KWENYE NGUZO YA UMEME HAPA KWENYE MAKAZI YETU INAYOFANYA UMEME UCHEZE CHEZE PASIPO KUTULIA NA HATIMAE UMEKATIKA KABISA.
MKASEMA MTAKUJA MAFUNDI WAKO NJIANI.MKATUPA NA CONTROL NUMBER HATUKUWAONA.
IJUMAA TAREHE 31 ASUBUHI TUKAWAPIGIA SIMU TENA MKASEMA MTAKUJA, MCHANA WA SIKU HIYO HIYO IJUMAA TUKAWAPIGIA TENA MKASEMA MTAKUJA HAMKUJA TUKALALA GIZA JUMAMOSI TUMEWAPIGIA ASUBUHI MKASEMA MTAKUJA MAFUNDI WAKO NJIANI. HAMKUJA NA MPKA NAANDIKA LALAMIKO HILI HAPA NI KUONESHA TUMECHOKA..
NA KESHO MNAWEZA MSIJE.. KILA TUKIPIGA SIMU MNATUULIZA WAPI, TUMESHAWAELEKEZA... NJOENI HAPA GETI JEKUNDU KARIBU NA UKUTA WA AIRPORT.. ACHENI HIZO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mpendwa mteja tunaomba namba yako ya simu na namba ya taarifa uliyopatiwa tulifanyie kazi swala lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…