Je shule hii iliomba umeme? Taasisi mashirika au watu binafsi hupelekewa umeme mara baada ya kukamilisha wiring na kuleta maombiTANESCO IMEWAPATIA WANAKIJIJI UMEME SHULE YA SEKONDARI HAINA UMEME.
nimekuwa nikijiuliza hivi uongoz wa kata na wilaya hauko serous na usambazaji wa umeme. Leo ni mwaka 3 shule ya sekondari Magubike haina umeme huko huduma zingine kama hospital walishapelekewa.waziri wa nishati na madin wanafunz hawapati muda wa kujisomea na kusababisha mimba kuongezeka kwa sababu wazazi hawawezi kuweka watoto hostel wakati umeme no.
Wahusika kama munaniskia shule ya sekondari Magubike haina umeme kabsa huku kipaumbele cha serikali ya awamu ya tatu ni kupata umeme..alishakuja meneja wa mkoa akafika akaangalia lakin hado kimya.
Njoon magubike ipo barabara ya Dodoma ukipita tu Dumila kama unaelekea Dodoma.
umila umeme upo na maeneo ya karibu na hapo kuna miradi ya REA inayoendelea, tungepata mawasiliano ya mteja husika tujue ni eneo gani hasa analolizungumziaKwanza polen kwa kazi kubwa.
Mji mdogo wa Dumila morogoro utapata lini huduma ya REA yaan umeme upo njian tu tufanyeje tuotaka kufungua mashine za mpunga pembezon.yaan mji hauna umeme.
Njoon muangalie ukiwafuata Mvomero kila kitu gharama kuanzia nguzo,waya, mita tutafika kweli..ifike hatua mameneja wa tanesco token ofisi njoon kwa wananchi tunaumia ndugu zangu
Nikiandika namba zangu mtanipigia myda huu ndugu zanguni?Tupo hewani kukusikiliza mpendwa mteja wetu
Swali langu. Niliomba mniambie juu ya kijiji cha MABUYE na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA NA ITALA, kata Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera kama kitapata umeme wa REA au LA maana karibia vijiji vyote vilivyo kizunguka vina umeme ila chenyewe hakina japo kina sifa zote za kupata umeme. Pia kama kitapatiwa naomba kuambiwa ni lini na kama hakimo kwenye orodha ya kupewa niambiwe pia. Nitashukuru.Namba ngapi mpendwa mteja
Tuliwahi kutolea ufafanuzi maeneo haya kuwa miradi ya rea inaenda kwa awamu sasa tupo awamu ya tatu hivyo tuwe na amani huduma itafikaSwali langu. Niliomba mniambie juu ya kijiji cha MABUYE na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA NA ITALA, kata Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera kama kitapata umeme wa REA au LA maana karibia vijiji vyote vilivyo kizunguka vina umeme ila chenyewe hakina japo kina sifa zote za kupata umeme. Pia kama kitapatiwa naomba kuambiwa ni lini na kama hakimo kwenye orodha ya kupewa niambiwe pia. Nitashukuru.
Nashukuru sana ngoja niendelee kufanya wiring ili siku ikifika niwe wa kwanza kupata nishati hiyo adhimu.Tuliwahi kutolea ufafanuzi maeneo haya kuwa miradi ya rea inaenda kwa awamu sasa tupo awamu ya tatu hivyo tuwe na amani huduma itafika
Na mimi nasubiri majibu nipo hapa tabata old dampo magerage leo siku ya pili tumekumbana na mgao wa umeme shughuli zimesimama alafu hakuna taarifa yeyote iliyotolewa na TanescoAaaah jamani Tanesco hii sasa sifa, kwa nini mnatukatia umeme kila siku asubuhi halafu mnarudisha usiku maeneo ya gongo la mboto mpaka majohe? Leo ni siku ya 3 mfululizo, je ni mgao umeanza tujiandae kisaikolojia?
Tupo hewani kukusikiliza mpendwa mteja wetu
Tuliwahi kutolea ufafanuzi maeneo haya kuwa miradi ya rea inaenda kwa awamu sasa tupo awamu ya tatu hivyo tuwe na amani huduma itafika