TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
- #4,621
Je shule hii iliomba umeme? Taasisi mashirika au watu binafsi hupelekewa umeme mara baada ya kukamilisha wiring na kuleta maombiTANESCO IMEWAPATIA WANAKIJIJI UMEME SHULE YA SEKONDARI HAINA UMEME.
nimekuwa nikijiuliza hivi uongoz wa kata na wilaya hauko serous na usambazaji wa umeme. Leo ni mwaka 3 shule ya sekondari Magubike haina umeme huko huduma zingine kama hospital walishapelekewa.waziri wa nishati na madin wanafunz hawapati muda wa kujisomea na kusababisha mimba kuongezeka kwa sababu wazazi hawawezi kuweka watoto hostel wakati umeme no.
Wahusika kama munaniskia shule ya sekondari Magubike haina umeme kabsa huku kipaumbele cha serikali ya awamu ya tatu ni kupata umeme..alishakuja meneja wa mkoa akafika akaangalia lakin hado kimya.
Njoon magubike ipo barabara ya Dodoma ukipita tu Dumila kama unaelekea Dodoma.