Idiots ..matengenezo hayaishag miak yteTanesco walitoa tangazo, kama unavyoliona hapoView attachment 885238View attachment 885239
Toka tarehe 25/9/2018 nimelipia kuunganishiwa umeme. Maeneo ya Kimara, lakini mpaka sasa ninavyoandika hapa hakuna dalili zozote, zaidi ya kutengenezewa mazingira ya kutoa rushwa na watendaji. Niambieni toka muda wa kulipia uchukua muda gani kuonganishiwa umeme?? Msaada pleaseTupo kukusikiliza mpendwa mteja wetu
Ndugu mpendwa mteja kwa bado upo ndani ya muda ulionyeshwa kwenye mkatabata wa huduma kwa wateja na tulukuambia hapo awali kuwa walikutanguliwa wakishafungiwa na wewe utafungiwaToka tarehe 25/9/2018 nimelipia kuunganishiwa umeme. Maeneo ya Kimara, lakini mpaka sasa ninavyoandika hapa hakuna dalili zozote, zaidi ya kutengenezewa mazingira ya kutoa rushwa na watendaji. Niambieni toka muda wa kulipia uchukua muda gani kuonganishiwa umeme?? Msaada please
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*Wapuuzi sana naona huku inakuwa desturi sasa ....Tanzania nchi ya ajabu sana yn Karne hii umeme bdo wa shda ktk linaloitwa jiji kubwa
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*Idiots ..matengenezo hayaishag miak yte
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*Wapuuzi sana naona huku inakuwa desturi sasa ....Tanzania nchi ya ajabu sana yn Karne hii umeme bdo wa shda ktk linaloitwa jiji kubwa
Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala hiliKwanza nitoe pongezi kwa kuanzishwa kwa page hii, hakika itakuwa ni mkombozi kwa wananchi wengi kuweza kutoa maoni hapa. Mimi ni mkazi wa Kigamboni, kata ya Somangila mtaa wa Dege. Baada ya kuangaika na kuomba umeme kwa muda mrefu, hatimae serikali ilisikia kilio chetu na mwaka huu kupitia mradi wa Dege II tumewaza kupata umeme. Hata hivyo bado kuna changamoto ndogo ambayo inahitaji utatuzi katika eneo hili la Dege (Dege II). Kabla ya zoezi la usambaziji wa umeme kuanza Engineer anayehusika na uchoraji aliandaa michoro lakini kuna kipande hakikuwekwa katika mchoro hivyo baadhi ya nyumba kama kumi kuwa katika kisiwa kwani nyaya na nguzo zilionekana kuwa mbali. Wananchi tulitoa malalamiko yetu, meneja (Eng. Swai kipindi hiko) na mchoraji Eng. Koku walikili kuwa kuna makosa yamefanyika na wakaahidi kuwa watakuja kutatua baada ya kazi ya eneo lililopo katika mchoro kuwa imekamilika.
Wakati kazi ikiendelea Zonal Manager (Eng. Mgaya) aliagiza kwa wananchi waliopo karibu na nguzo na ambao wamelipia wavutiwe umeme kwa kutumia nguzo za mradi na baadae zitarudishwa. Baada ya zoezi kukamilika zilibaki nguzo tano na waya uliokuwa umehifadhiwa kwa Mzee Samweli. Engineer Swai alimuagiza wasaidizi wake Mr. Mayunga na Eng. Koku kutumia nguzo zilizobaki pamoja na waya kupeleka katika eneo lililokuwa limebaki kama kisiwa. Hata hivyo zoezi hilo lilikoma muda mfupi baada ya meneja Swai kuhamishwa kikazi. Tumejaribu kufatilia kwa meneja mpya Madam Khadija lakini majibu hayakuwa mazuri kwani alisema wasaidizi wake walimwambia mradi ulikwisha fungwa na waya na nguzo zilizobaki zimerudi store.
Sisi wananchi tunasikitika sana kwani si jambo la busara nguzo na nyaya zibaki alafu watu waliokosa umeme waendelee kukaa katika kisiwa cha giza. Inasikitisha zaidi kwani kuna eneo ambalo limepelekewa nguzo na nyaya lakini hakuna watu wanaishi hapo.
Tunaomba msaada kwa hili.
Wakazi wa Dege (Dege II) Project karibu na Eneo la Gombo.
0759044229/Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala hili
Wilaya gani mpendwa.mtejaTanesco lini mtanipa Umeme?
Mwaka 2020?
Namba zangu hizo
0686831819
Nimelipa tarehe 28/6/2018
Saa 16:28:48
Mpaka Leo hii hakuna kituView attachment 886692