TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Wapuuzi sana naona huku inakuwa desturi sasa ....Tanzania nchi ya ajabu sana yn Karne hii umeme bdo wa shda ktk linaloitwa jiji kubwa
 
Tanesco walitoa tangazo, kama unavyoliona hapo
IMG_3511.JPG
IMG_3512.JPG
 
Alafuu Jamaa anaka analeta Story za Viwandaa... Nchi ya kipuuzi Sana hii!! [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Tupo kukusikiliza mpendwa mteja wetu
Toka tarehe 25/9/2018 nimelipia kuunganishiwa umeme. Maeneo ya Kimara, lakini mpaka sasa ninavyoandika hapa hakuna dalili zozote, zaidi ya kutengenezewa mazingira ya kutoa rushwa na watendaji. Niambieni toka muda wa kulipia uchukua muda gani kuonganishiwa umeme?? Msaada please
 
Ndugu mpendwa mteja kwa bado upo ndani ya muda ulionyeshwa kwenye mkatabata wa huduma kwa wateja na tulukuambia hapo awali kuwa walikutanguliwa wakishafungiwa na wewe utafungiwa
 
Wapuuzi sana naona huku inakuwa desturi sasa ....Tanzania nchi ya ajabu sana yn Karne hii umeme bdo wa shda ktk linaloitwa jiji kubwa
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*TAARIFA YA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA UMEME MKOA WA ILALA*

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa, kutakuwa na kazi ya maboresho ya miundombinu ya umeme ili kuendana na ongezeko la matumizi ya umeme, ili kupisha maboresho hayo umeme utazimwa kama ifuatavyo;

*Muda:* 01:30 asubuhi mpaka 12:00 jioni

*Octoba-02, 03, 09, 10, 16, 17, 23, 24, 30 na 31/10/2018*

*Novemba- 06 na 07/11/2018*

SABABU: *Kuvuta waya wa umeme wa msongo wa kilovolti 132 kutoka kituo cha ubungo mpaka kituo cha kupooza na kusambaza umeme cha Kipawa*

*MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI;*
Gongo la mboto yote, namera group of industries, Kampala university, Mombasa, Mazizini, Moshi bar, ukonga yote, kitunda yote, kivule yote, Msongola yote, Mongola, Ulongoni yote, stakishari, Said Mwema, Gongo zembe, Kisarawe yote, Majohe, FQ hotel, na maeneo jirani.

Tafadhari usisogelee, usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kwenye Dawati la dharura mkoa wa ILALA: 0784768586,0715768586,022-2133330,Viwandani 0684001066,0715768587 ,Tabata 0684001068 0715768589 , Gongo la Mboto- 0688001071, 0715 768 584
au kituo cha miito ya simu makao makuu:+255768985100

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
2/10/2018
 
Idiots ..matengenezo hayaishag miak yte

Kwanza nitoe pongezi kwa kuanzishwa kwa page hii, hakika itakuwa ni mkombozi kwa wananchi wengi kuweza kutoa maoni hapa. Mimi ni mkazi wa Kigamboni, kata ya Somangila mtaa wa Dege. Baada ya kuangaika na kuomba umeme kwa muda mrefu, hatimae serikali ilisikia kilio chetu na mwaka huu kupitia mradi wa Dege II tumewaza kupata umeme. Hata hivyo bado kuna changamoto ndogo ambayo inahitaji utatuzi katika eneo hili la Dege (Dege II). Kabla ya zoezi la usambaziji wa umeme kuanza Engineer anayehusika na uchoraji aliandaa michoro lakini kuna kipande hakikuwekwa katika mchoro hivyo baadhi ya nyumba kama kumi kuwa katika kisiwa kwani nyaya na nguzo zilionekana kuwa mbali. Wananchi tulitoa malalamiko yetu, meneja (Eng. Swai kipindi hiko) na mchoraji Eng. Koku walikili kuwa kuna makosa yamefanyika na wakaahidi kuwa watakuja kutatua baada ya kazi ya eneo lililopo katika mchoro kuwa imekamilika.

Wakati kazi ikiendelea Zonal Manager (Eng. Mgaya) aliagiza kwa wananchi waliopo karibu na nguzo na ambao wamelipia wavutiwe umeme kwa kutumia nguzo za mradi na baadae zitarudishwa. Baada ya zoezi kukamilika zilibaki nguzo tano na waya uliokuwa umehifadhiwa kwa Mzee Samweli. Engineer Swai alimuagiza wasaidizi wake Mr. Mayunga na Eng. Koku kutumia nguzo zilizobaki pamoja na waya kupeleka katika eneo lililokuwa limebaki kama kisiwa. Hata hivyo zoezi hilo lilikoma muda mfupi baada ya meneja Swai kuhamishwa kikazi. Tumejaribu kufatilia kwa meneja mpya Madam Khadija lakini majibu hayakuwa mazuri kwani alisema wasaidizi wake walimwambia mradi ulikwisha fungwa na waya na nguzo zilizobaki zimerudi store.

Sisi wananchi tunasikitika sana kwani si jambo la busara nguzo na nyaya zibaki alafu watu waliokosa umeme waendelee kukaa katika kisiwa cha giza. Inasikitisha zaidi kwani kuna eneo ambalo limepelekewa nguzo na nyaya lakini hakuna watu wanaishi hapo.

Tunaomba msaada kwa hili.

Wakazi wa Dege (Dege II) Project karibu na Eneo la Gombo.
 
Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala hili
 
Tanesco Tunduma niwamajaribio au maana kilawakati mnakata tu.
Nyaya zipo chini hamzioni?au hadi litoke janga.
 
Tanesco ingebinafsishwa tu kazi zimewashinda,ningependa hili shirika akabidhiwe bakhresa kuliendesha,sehemu ya kuhitaji nguzo tano unasubiri mwaka na nusu,umeme bado unakatika ghafla ghafla tena mchana jua kali,kama Town kuna sehemu hakuna umeme vp huko nyamisati? Vipi huko Naminywili? Vp huko Kiabakari? Vp huko kazilamimba na kapalamsenga?
 
Back
Top Bottom