huu umeme wenu mliotuletea sngea hautusaidii sanasana umekuwa kero kubwa kwetu watumiaji wa nishati hii.
Segerea eneo gani na namba yako ya simu tafadhali
 
Duuh huku songea grid ya taifa hata siielewi mbona bora zile generator sion hata faida yake sasa mnatukatia siku nzima tunashindwa fanta shughuri zetu kama mgao unaendelea mtuambie tuu
 
Nahitaji umeme nilinunua Tarehe 19/10/2018.
Lakini kulkuwa na shida ya mtandao selcom.
Naombeni mnisaidie niko gizani toka Tarehe hiyo.
Mita No. 43001204874

Reference No. 0253599369.
Asanteni.
 
Tanesco mna kero sana tokea asubui umeme akuna maeneo ya rombo kibo kimara na kuendelea na ni tatizo la wiki sasa,shida ni nin
 
Tanesco mna kero sana tokea asubui umeme akuna maeneo ya rombo kibo kimara na kuendelea na ni tatizo la wiki sasa,shida ni nin
Tunawaomba radhi sana wapendwa wateja wetu kulikuwa na tatizo ambalo ilibidi tuwahamishie laini nyingine ili mpate huduma
 
Nahitaji umeme nilinunua Tarehe 19/10/2018.
Lakini kulkuwa na shida ya mtandao selcom.
Naombeni mnisaidie niko gizani toka Tarehe hiyo.
Mita No. 43001204874

Reference No. 0253599369.
Asanteni.
Umeme kwa selcom? Ukapata ujumbe gani
 
Duuh huku songea grid ya taifa hata siielewi mbona bora zile generator sion hata faida yake sasa mnatukatia siku nzima tunashindwa fanta shughuri zetu kama mgao unaendelea mtuambie tuu
Eneo
Namba ya simu
Tatizo tafadhali
 
Huduma Ya Watumiaji Wadogo Wa Umeme Mbona Kuipata Ni Shida Sana
Tanesco Ukifika Unaambulia Sounds
 
Umeme kwa selcom? Ukapata ujumbe gani
Mtandao unasumbua,wakatuma token kwenye namba za simu bahati mbaya au nzuri nikajisahau nikafuta hyo token.
Naombeni mnisaidie token hizo tena.
 
Ni zaidi ya mwezi sasa eneo la Mbezi Louis ni nadra kuwa na umeme kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Sasa tunajiuliza: ni mgao wa kimya kimya au kuna tatizo la kiufundi au nini? Watu wataishije bila umeme jamani? Tanesco nini hii kitu?
Siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaya. Wanakata kuanzia saa mbili asubuhi wanaridisha saa mbili usiku.

Kama kuna tatizo la kiufundi ni kubwa kiasi gani kushindwa kutatulika ni miezi sasa?
 
Sio huko tuu mkuu ni kuanzia maeneo ya kimara mwisho kama sijakosea ukikatika ni kuanzia saa tatu asubuhi kurudi ni saa nane usiku.
 
Ndugu zangu wa Tanesco,eneo la Mbezi Loius kuna tatizo kubwa la umeme. Kwanza unakatika mara kwa mara. Pili ni zaidi ya mwezi sasa kuna kitu kama mgawo wa umeme huku. Zaidi ya mwezi sasa umeme unakatika kuanzia asubuhi hadi jioni. Mara nyingi hatuna umeme mchana. Ni nini tatizo?
Tafafgali tunaomba majibu!
 
Mnashangaa nini?? Hii ni nchi ya viwanda. Tunaendelea kuunga juhudi za nchi ya viwanda kwa kukaa gizani. Bora nyie umeme unarudi saa mbili usiku. Mitaa ya Kimara unaondoa asubuhi saa moja na tunaenda kulala saa tano bila umeme. Ukiamka asubuhi unakuta ndo unarejeshwa. Bora wakati wa mkoloni
 
Mpendwa mteja wetu tunaomba radhi sana kwani kimara kulikuwa na tatizo kwenye laini yetu ya Nordic 2 hatua stahiki zinachukuliwa
 
Ndugu mpendwa mteja hakuna mgawo wa umeme bali kulitokea hitilafu kidogo ambapo wataalamu wetu waliifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…