Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawaomba radhi sana wapendwa wateja wetu kulikuwa na tatizo ambalo ilibidi tuwahamishie laini nyingine ili mpate hudumaTanesco mna kero sana tokea asubui umeme akuna maeneo ya rombo kibo kimara na kuendelea na ni tatizo la wiki sasa,shida ni nin
Umeme kwa selcom? Ukapata ujumbe ganiNahitaji umeme nilinunua Tarehe 19/10/2018.
Lakini kulkuwa na shida ya mtandao selcom.
Naombeni mnisaidie niko gizani toka Tarehe hiyo.
Mita No. 43001204874
Reference No. 0253599369.
Asanteni.
Ilikuchukua muda gani mkuu?Nimepatiwa Umeme!!!!!
Haikuwa rahisi
Gharama ya nguzo 3 ni shilingi ngapi mkuu kwa eneo la mbezi malamba mawili?Unahotaji nguzo moja swala lako tumelipokea mkuu
Mtandao unasumbua,wakatuma token kwenye namba za simu bahati mbaya au nzuri nikajisahau nikafuta hyo token.Umeme kwa selcom? Ukapata ujumbe gani
Mpendwa mteja wetu tunaomba radhi sana kwani kimara kulikuwa na tatizo kwenye laini yetu ya Nordic 2 hatua stahiki zinachukuliwaMnashangaa nini?? Hii ni nchi ya viwanda. Tunaendelea kuunga juhudi za nchi ya viwanda kwa kukaa gizani. Bora nyie umeme unarudi saa mbili usiku. Mitaa ya Kimara unaondoa asubuhi saa moja na tunaenda kulala saa tano bila umeme. Ukiamka asubuhi unakuta ndo unarejeshwa. Bora wakati wa mkoloni
Ndugu mpendwa mteja hakuna mgawo wa umeme bali kulitokea hitilafu kidogo ambapo wataalamu wetu waliifanyia kaziNdugu zangu wa Tanesco,eneo la Mbezi Loius kuna tatizo kubwa la umeme. Kwanza unakatika mara kwa mara. Pili ni zaidi ya mwezi sasa kuna kitu kama mgawo wa umeme huku. Zaidi ya mwezi sasa umeme unakatika kuanzia asubuhi hadi jioni. Mara nyingi hatuna umeme mchana. Ni nini tatizo?
Tafafgali tunaomba majibu!