LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...tunapata tabu sana,.jana tuu hakukuwa na umeme siku nzima,sisi waranda mbao hatukuranda hata mbao moja umeme umerudi jioni sana...hivi tutapigaje hatua kwa mtindo huu???
Hulku Pugu kajiungeni mtaa waPakani kila Jumanne na Jumatano umeme unakatwa ssaa 1:30 hadi saa 11:00 jioni. Na hakuna taarifa yoyote iliyowahi mutolewa Kuhusu jambo hili.
Hatutafika abadaniKwa style hii uchumi wa viwanda tutafikaje
Habari za sahizi mpendwa mteja wetuHabari wanabodi.
Naandika uzi huu nikijua fika Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli si mwanachama wa mtandao huu lakini naimani atauona au kuambiwa na watu wake.
Mh Rais tunakumbuka kuwa hapo awali Tanesco walitengeneza mgao feki ili baadhi ya wakuu wapige pesa ni wewe peels ndiye uliyelifichua hili na kusitisha mgao.
Mh Rais napenda kukufahamisha kuwa mgao ule Tanesco wameurudisha tena kwa siri. Mkuu mgao huu una athari kubwa hasa kwa sisi ambao tunatekeleza sera yako ya HAPA KAZI TU tukitumia VIWANDA vidogo ili tuifikishe nchi yetu katika uchumi wa Kati.
Mh Rais kinachoendelea Tanesco kwa sasa ni kuhujumu juhudi zako katika kuleta maendeleo ndani ya nchi yetu.
Huku kwetu Ilala (tabata) umeme unakatwa mchana kutwa unarudishwa jioni hauishii hapo usiku unakuwa unakatwa na kurudishwa muda mwingine unarudi kwa nguvu mfano hai ni jana usiku 23/10/2018 majira ya saa tano umeme ulionhezwa nguvu hali hii itasababisha short na uharibifu wa mitambo na vifaa vyetu vya umeme.
Mh Rais ikiwa ni majuzi tu katika moja na speeches ulisema umeme wetu una gharama kubwa sio rafiki kwa wenye viwanda. Sasa wanakata kabisa tutumie majenereta Je mkuu hawa watu wana lengo la kujenga au kuharibu.
Mh Rais katika hili swala ni wewe pekee wa kuwa mkombozi wetu kama ulivyofanya kipindi kile cha mgao nchi nzima au Tanesco waweke wazi sababu za mgao huu lakini vinginevyo kuna hujuma ndani ya Shirika la Umeme.
Nimatumaini yangu kuwa hii itakufikia Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetuJapo mods nimesikitika uzi wangu kuungwa na huu mimi ilikuwa ni maombi yangu kwa MH Rais sio taarifa kwa Tanesco maana kama ni taarifa tumepiga sana namba yao lakini hili swala ni MH Rais ndiye mkombozi aliyebaki kwetu sisi tunaenda na sera ya Tanzania ya viwanda
*TAARIFA KUHUSU HALI YA UMEME ENEO LINALOLALAMIKIWA*Habari za sahizi mpendwa mteja wetu
Tunakuomba radhi sana wewe pamoja na wateja wetu kwa hayo uliyosema.tunaomba utujulishe ni eneo gani haswa na namba yako ya simi tafadhali
*TAARIFA KUHUSU HALI YA UMEME ENEO LINALOLALAMIKIWA*Japo mods nimesikitika uzi wangu kuungwa na huu mimi ilikuwa ni maombi yangu kwa MH Rais sio taarifa kwa Tanesco maana kama ni taarifa tumepiga sana namba yao lakini hili swala ni MH Rais ndiye mkombozi aliyebaki kwetu sisi tunaenda na sera ya Tanzania ya viwanda
Habari za sahizi mpendwa mteja wetu
Tunakuomba radhi sana wewe pamoja na wateja wetu kwa hayo uliyosema.tunaomba utujulishe ni eneo gani haswa na namba yako ya simi tafadhali
Sasa mbona units zimepungua kulikoni, elfu moja nilikuwa napata units 8.2, Leo nipata units 2.4 kwa elfu mojaHakuna badiliko lolote la bei mpendwa mteja wetu
Ndugu mpendwa mteja ni matumaini yetu kuwa uliona hali ya hewa ilivyokuwa hata hivyo hatua stahili zimechukuliwaMna shida gani? Mchana mmekata siku nzimu, sasa hivi npo mnakata. Mbona mnaoenda kukera? Kwanini msibinafsishe kama mmeshindwa kutoa huduma?
Pole sana umeme unaweza kukatika kwa sababu mbalimbali moja ikiwemo hali ya hewa kama ulivyoona upepo mkali ukivuma hivyo tunaomba radhi na uwe unatupatia taarifa mapema zaidiNasikitika kuona ubungo kibangu ambapo ni nyuma tuu ya offisi za tanesco ubungo kuona umeme unakatika kila siku.. Hii ni nyumba niliyo amia miez 4 sasa ..lakini nalazimika kuhama kabla ya mkataba kuisha kwasababu ya umeme kukata kata ovyo..
Mimi ni naendesha shughuli zangu kupitia youtube chanel na ndo inaniweka mjini. Kutokana na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara..mnanifanya nishindwe kuripot matukio mda husika
Ajali ya MV NYERERE Sikutoa taarifa mda muhafaka kwaiyo mukanikosesha viwers
Kupatikana kwa mo pia umeme ulikatika nimekuja kupata taarifa saa 3 asubuhi baada ya umeme kurudi,,kumbe taarifa za za kupatikana zilianza kusambaa saa 8 usiku
Kukata kwenu umeme munanikosesha mambo mengi
Kesho ndio nahama rasmi hii sehemu