Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanzania wengi ni mazezeta ndo maana..wanaibiwa kizezetaTANESCO kuna jamaa wanatembea kigamboni wamevaa magwanda yenu kabisa wanachukua pesa kwa watu na kujiadia wanaleta umeme hakika wametapeli watu wengi na wanawachafua sana mmoja namba yake ni hii 0672089682
sina umeme wakuu tangu Janamita: 24210265450
namba: 0626620789
kiasi: 10,000
muda:1950hrs
trh:26/10/2018
sijapokea token
umeme tafadhalisina umeme wakuu tangu Jana
Ndugu mpendwa mteja tumewahi kueleza kadhaa kuwa malipo ya TANESCO yanafanyika bank au ofisi zetu na kila malipo yana stakabadhi hivyo tunaendelea.kutoa wito kwenu kuendelea kufanya malipo kwa njia sahihiTANESCO kuna jamaa wanatembea kigamboni wamevaa magwanda yenu kabisa wanachukua pesa kwa watu na kujiadia wanaleta umeme hakika wametapeli watu wengi na wanawachafua sana mmoja namba yake ni hii 0672089682
ahsantw4138 1053 2784 1533 7561
WilayaNaomba namba zenu za uhakika , tulinunua umeme wa 200,000 kwAjili ya kuendesha mashine, tumekosea namba moja ya mita. Ofisi za Tanesco wilaya (- ) zimetupa jibu lisilo la kiweledi. Tcra wanasema niende mahakamani. Nisaidieni.