Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Hapa ni Kimara mwisho, eneo la mtaa wa Masista wa st Joseph Waya hizi hazina cover na zinapogusana ni short na hasarakwa vifaa vyetu. Cha ajabu mafundi wanapo kuja badala ya kukata huu mti au kubadili waya, hii ndio teknolojia wanayotumia. Tukiwambia kateni huu mti majibu yao yamekuwa kateni wenyewe, utaala wa kukata mti kwenye nyaya zenye umeme tulijifunza wapi? Nasikitika jiwe hili halina wiki upepo wa jana limeshadondoka. Huu utaalam mpya wa Tanesco unatutia hasara sana tusaidieni kumaliza tatizo hili