Huduma Ya Watumiaji Wadogo Wa Umeme Mbona Kuipata Ni Shida Sana
Tanesco Ukifika Unaambulia Sounds
Kila mteja anawekwa kwenye kundi la matumizi linaloendana na matumizi yake
 
Habari Tanesco naitwa Joseph Nchinga nipo Arusha mjini,nmeanza kutumia UMEME tangu 8/2018 nashukuru, ingawa tatizo langu kubwa LUKU inajizima KILA siku kuanzia saa 12:30 jioni mpaka kesho yake asubuhi, naomba kutatuliwa kwa tatizo hili 0784815017
 
Habari Tanesco naitwa Joseph Nchinga nipo Arusha mjini,nmeanza kutumia UMEME tangu 8/2018 nashukuru, ingawa tatizo langu kubwa LUKU inajizima KILA siku kuanzia saa 12:30 jioni mpaka kesho yake asubuhi, naomba kutatuliwa kwa tatizo hili 0784815017
Tumepokea taarifa yako mpendwa mteja wetu
 
Habari wanabodi.

Naandika uzi huu nikijua fika Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli si mwanachama wa mtandao huu lakini naimani atauona au kuambiwa na watu wake.

Mh Rais tunakumbuka kuwa hapo awali Tanesco walitengeneza mgao feki ili baadhi ya wakuu wapige pesa ni wewe peels ndiye uliyelifichua hili na kusitisha mgao.

Mh Rais napenda kukufahamisha kuwa mgao ule Tanesco wameurudisha tena kwa siri. Mkuu mgao huu una athari kubwa hasa kwa sisi ambao tunatekeleza sera yako ya HAPA KAZI TU tukitumia VIWANDA vidogo ili tuifikishe nchi yetu katika uchumi wa Kati.

Mh Rais kinachoendelea Tanesco kwa sasa ni kuhujumu juhudi zako katika kuleta maendeleo ndani ya nchi yetu.

Huku kwetu Ilala (tabata) umeme unakatwa mchana kutwa unarudishwa jioni hauishii hapo usiku unakuwa unakatwa na kurudishwa muda mwingine unarudi kwa nguvu mfano hai ni jana usiku 23/10/2018 majira ya saa tano umeme ulionhezwa nguvu hali hii itasababisha short na uharibifu wa mitambo na vifaa vyetu vya umeme.
Mh Rais ikiwa ni majuzi tu katika moja na speeches ulisema umeme wetu una gharama kubwa sio rafiki kwa wenye viwanda. Sasa wanakata kabisa tutumie majenereta Je mkuu hawa watu wana lengo la kujenga au kuharibu.

Mh Rais katika hili swala ni wewe pekee wa kuwa mkombozi wetu kama ulivyofanya kipindi kile cha mgao nchi nzima au Tanesco waweke wazi sababu za mgao huu lakini vinginevyo kuna hujuma ndani ya Shirika la Umeme.

Nimatumaini yangu kuwa hii itakufikia Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli.
 
Aisee...tunapata tabu sana,.jana tuu hakukuwa na umeme siku nzima,sisi waranda mbao hatukuranda hata mbao moja umeme umerudi jioni sana...hivi tutapigaje hatua kwa mtindo huu???
 
Hulku Pugu kajiungeni mtaa waPakani kila Jumanne na Jumatano umeme unakatwa ssaa 1:30 hadi saa 11:00 jioni. Na hakuna taarifa yoyote iliyowahi mutolewa Kuhusu jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…