Naitwa Frank Baraka Abel,

nimteja wa Tanesco
Namba ya mita ni:54151665905
niko mkoa wa Ruvuma,
Wilaya ya Mbinga,
Kat a ya Ruanda
Kijiji Cha Ntunduwaro
Kitongoji Cha Liyombo=>sokoni najulikana kama ABEL,
mawasiliano ni 0753-961-896
Eneo linafikikika bila shida ,
Mbinga to Liyombo moja kwa moja.

Mita yangu ilizimika 5/11/2018 hadi leo 13/11/2018 haija rekebishwa. nimekuwa niliwasiliana na Tanesco Wilaya ya mbinga kwa kuwapa taarifa,picha ya mwonekano wa mita yenyewe na wamenipa namba
-1272 9486 6380 6643 1613
-3286 6846 8441 0464 4880

za kuingiza ila bado sijafanikiwa wala wao kufika.
Inaonyesha taa kwenye kitufe Cha credit, nimenunua TOKEN namba
6458 7600 8873 0341 0330
haiingii , mita inaonekana haina mtandao ,

TAFADHALI NAOMBA KUHUDUMIWA
 
Tumepoka taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja
 
Naomba kujua wastani wa matumizi ya mita na: 07055338532 kwa mwezi. Nijulishwe pia kama ina deni maana gharama ni kubwa kuliko matumizi. Ipo Sinza-Ubungo
 
Naomba kujua wastani wa matumizi ya mita na: 07055338532 kwa mwezi. Nijulishwe pia kama ina deni maana gharama ni kubwa kuliko matumizi. Ipo Sinza-Ubungo
Wastani 389 kwa mwezi na haina deni
 
Hvi umeme si mlisema kukata mwisho tarehe 7/11/2018 imekuaje mmendelea kukata tena bila taarifa.
 
Nataka kujua kama line ambayo nimevuta umeme haina nguvu na inaunguza vitu vyangu, nifanyaje ili nihame line maana sasa friji zangu mbili zimekufa
 
Wastani wa unit 103 kwa mwezi hauna deni
Habari Tanesco nipo mkoa wa mara wilaya ya Tarime mji wa Nyamongo na kwa sasa navyozungumza tupo gizani na tatizo langu ni kwamba kuna zile mita ndogo za luku ambazo tunatumiaga kujaziaga units sijui ina matatizo gani yani ukishajaza luku haioneshi umejaza units ngapi na zinasoma units ngapi na units zikiisha tu umeme unakata na huwezi tena kujaza kupitia hizo luku ndogo inatulazimu kumuita fundi kutoka tenesco toka wilaya ya tarime hadi huku nyamongo apande kwenye nguzo ili atujazie units kwenye ile mita kubwa iliyopo kwenye nguzo nilikuwa naomba kama hizi luku ndogo zinatengenezeka mtusaidie kutengeneza ila huyu fundi wa tanesco yeye anasema mpaka tununue luku mashine nyingine yakutumia kwa maana kwamba hii ya sasa imeharibika au kama kuna msaada zaidi ya hapo mnaweza kutusaidia,,
Na mita namba yetu ni 37135487231
Asanteni.
 
Ndugu mteja pole kwa usumbufu unaopata..tunaweza kupata namba yako ya simu na wilaya yako pamoja na eneo lako kwa hatua zaidi.

Po
 
Ndugu mteja pole kwa usumbufu unaopata..tunaweza kupata namba yako ya simu na wilaya yako pamoja na eneo lako kwa hatua zaidi.

Po
Hivi unapaswa kufungiwa umeme ndani ya siku ngapi tangu ulipe gharama za kuunginishiwa?
 
Hivi unapaswa kufungiwa umeme ndani ya siku ngapi tangu ulipe gharama za kuunginishiwa?
Ndugu mteja inategemea na umbali kama ni umbali ambao hautaji nguzo ni siku 30 za kazi, kama kunahitajika nguzo moja ni siku 60 za kazi..

Lakni siku zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa mfano endapo wateja waliomba umeme wapo wengi na utaratibu wetu ni FIFO yaani wa kwanza kulipia wa kwanza kupata huduma hivyo tunaenda kwa utaratibu huo. Pia kuna wakati vifaa vinakuwa vimepungua kwenye mkoa huska hivyo basi utaratibu wa kupata stock kutoka central store unapokuwa unafanyika kidogo siku zinaweza kuongezeka.


Je umelipia na bado ujafungiwa umeme?
 
Nimelipia tangu tarehe 11/10/2018,kutoka kwenye nguzo hadi kwenye nyumba hazizidi mita 10,lakini ofisi ya TANESCO Nyakato hainipi majibu ya kuridhisha na kubaki kunizungushwa tu.
 
Hii ratiba ya ukataji umeme maeneo ya Tabata kwa siku mbili za week ratiba ya kwanza nadhani ilisema inaishia Tarehe 7&8 November...naona leo umeme umekatwa siku nzima na inasemekana pia kesho..inayoashiria ratiba ya siku mbili kwa week inaendelea?
 
Tanesco Makao Makuu mnakaa kimya inamaana mmeshindwa kunisaidia!!? Au ndiyo hivyo mko kwa wale wenye mamlaka na uwezo wa kipesa. Tuka lalamikie wapi. Ngoja niadike barua EWURA CC labda watanisaidia.
Najua mnanifanyia makusudi. Wenye pesa wananguvu bhana.
 
Tanesco, kuna nini Gongolamboto? Kwa nini kila siku mnakata umeme kwa Massa zaidi ya 8? Kwa nini mnakata umeme Masaa ambayo watu wanafanya shughuli za kiuchumi?
 
Nimelipia tangu tarehe 11/10/2018,kutoka kwenye nguzo hadi kwenye nyumba hazizidi mita 10,lakini ofisi ya TANESCO Nyakato hainipi majibu ya kuridhisha na kubaki kunizungushwa tu.
Bado muda hajafika siku 30. Siku 30 za kazi yaani unatoa jumapili na jumamosi
 
Mimi kero yangu ni hiii umeme unakatika sana huku ukerewe nansio ,watu tunaka siku 3 bila umeme..maeneo ya kakukuru na viunga vyake.. Jamani hii inakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…