Didas N Joseph
Member
- Mar 16, 2018
- 15
- 3
Nguzo ndiyo hiyoPamoja na kuwajibika na usalama WA raia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguzo ndiyo hiyoPamoja na kuwajibika na usalama WA raia
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1.ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2.NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3.KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;
LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO
Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani
Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO
Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu
HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA
Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219
Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098
Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361
Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386
Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110
Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779
Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8
Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590
Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330
Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061
Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672
Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180
Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728
Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2
Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133
Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868
Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120
Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668
Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200
IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makauu.
NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE
1. Ilala
0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.
2.Kinondoni Kusini (Magomeni)
0784271461/ 0715271461
3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)
0784 768584/ 0716 768584
4. Temeke
0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720
5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386
6. Mbeya
0759 777781/0787 023422
7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110
8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779
9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8
10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951
11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330
13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061
14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087
15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072
16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728
17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2
18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133
19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868
20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070
21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226
22. Katavi
0688345200
23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.
25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986
26. Njombe
0744703988
27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902
28. Iringa 0262702019/0739203015
29. Lindi
0752518247/0685692786
Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu
0768 985 100/0222194400
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
Tovuti
www.tanesco.co.tz
Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Tumepoka taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mtejaNaitwa Frank Baraka Abel,
nimteja wa Tanesco
Namba ya mita ni:54151665905
niko mkoa wa Ruvuma,
Wilaya ya Mbinga,
Kat a ya Ruanda
Kijiji Cha Ntunduwaro
Kitongoji Cha Liyombo=>sokoni najulikana kama ABEL,
mawasiliano ni 0753-961-896
Eneo linafikikika bila shida ,
Mbinga to Liyombo moja kwa moja.
Mita yangu ilizimika 5/11/2018 hadi leo 13/11/2018 haija rekebishwa. nimekuwa niliwasiliana na Tanesco Wilaya ya mbinga kwa kuwapa taarifa,picha ya mwonekano wa mita yenyewe na wamenipa namba
-1272 9486 6380 6643 1613
-3286 6846 8441 0464 4880
za kuingiza ila bado sijafanikiwa wala wao kufika.
Inaonyesha taa kwenye kitufe Cha credit, nimenunua TOKEN namba
6458 7600 8873 0341 0330
haiingii , mita inaonekana haina mtandao ,
TAFADHALI NAOMBA KUHUDUMIWA
Na mimi naomba mniangalizie hii hapa 43001560176Wastani 389 kwa mwezi na haina deni
Habari Tanesco nipo mkoa wa mara wilaya ya Tarime mji wa Nyamongo na kwa sasa navyozungumza tupo gizani na tatizo langu ni kwamba kuna zile mita ndogo za luku ambazo tunatumiaga kujaziaga units sijui ina matatizo gani yani ukishajaza luku haioneshi umejaza units ngapi na zinasoma units ngapi na units zikiisha tu umeme unakata na huwezi tena kujaza kupitia hizo luku ndogo inatulazimu kumuita fundi kutoka tenesco toka wilaya ya tarime hadi huku nyamongo apande kwenye nguzo ili atujazie units kwenye ile mita kubwa iliyopo kwenye nguzo nilikuwa naomba kama hizi luku ndogo zinatengenezeka mtusaidie kutengeneza ila huyu fundi wa tanesco yeye anasema mpaka tununue luku mashine nyingine yakutumia kwa maana kwamba hii ya sasa imeharibika au kama kuna msaada zaidi ya hapo mnaweza kutusaidia,,Wastani wa unit 103 kwa mwezi hauna deni
Ndugu mteja pole kwa usumbufu unaopata..tunaweza kupata namba yako ya simu na wilaya yako pamoja na eneo lako kwa hatua zaidi.Habari Tanesco nipo mkoa wa mara wilaya ya Tarime mji wa Nyamongo na kwa sasa navyozungumza tupo gizani na tatizo langu ni kwamba kuna zile mita ndogo za luku ambazo tunatumiaga kujaziaga units sijui ina matatizo gani yani ukishajaza luku haioneshi umejaza units ngapi na zinasoma units ngapi na units zikiisha tu umeme unakata na huwezi tena kujaza kupitia hizo luku ndogo inatulazimu kumuita fundi kutoka tenesco toka wilaya ya tarime hadi huku nyamongo apande kwenye nguzo ili atujazie units kwenye ile mita kubwa iliyopo kwenye nguzo nilikuwa naomba kama hizi luku ndogo zinatengenezeka mtusaidie kutengeneza ila huyu fundi wa tanesco yeye anasema mpaka tununue luku mashine nyingine yakutumia kwa maana kwamba hii ya sasa imeharibika au kama kuna msaada zaidi ya hapo mnaweza kutusaidia,,
Na mita namba yetu ni 37135487231
Asanteni.
Hivi unapaswa kufungiwa umeme ndani ya siku ngapi tangu ulipe gharama za kuunginishiwa?Ndugu mteja pole kwa usumbufu unaopata..tunaweza kupata namba yako ya simu na wilaya yako pamoja na eneo lako kwa hatua zaidi.
Po
Ndugu mteja inategemea na umbali kama ni umbali ambao hautaji nguzo ni siku 30 za kazi, kama kunahitajika nguzo moja ni siku 60 za kazi..Hivi unapaswa kufungiwa umeme ndani ya siku ngapi tangu ulipe gharama za kuunginishiwa?
Nimelipia tangu tarehe 11/10/2018,kutoka kwenye nguzo hadi kwenye nyumba hazizidi mita 10,lakini ofisi ya TANESCO Nyakato hainipi majibu ya kuridhisha na kubaki kunizungushwa tu.Ndugu mteja inategemea na umbali kama ni umbali ambao hautaji nguzo ni siku 30 za kazi, kama kunahitajika nguzo moja ni siku 60 za kazi..
Lakni siku zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa mfano endapo wateja waliomba umeme wapo wengi na utaratibu wetu ni FIFO yaani wa kwanza kulipia wa kwanza kupata huduma hivyo tunaenda kwa utaratibu huo. Pia kuna wakati vifaa vinakuwa vimepungua kwenye mkoa huska hivyo basi utaratibu wa kupata stock kutoka central store unapokuwa unafanyika kidogo siku zinaweza kuongezeka.
Je umelipia na bado ujafungiwa umeme?
Najua mnanifanyia makusudi. Wenye pesa wananguvu bhana.Tanesco Makao Makuu mnakaa kimya inamaana mmeshindwa kunisaidia!!? Au ndiyo hivyo mko kwa wale wenye mamlaka na uwezo wa kipesa. Tuka lalamikie wapi. Ngoja niadike barua EWURA CC labda watanisaidia.
Bado muda hajafika siku 30. Siku 30 za kazi yaani unatoa jumapili na jumamosiNimelipia tangu tarehe 11/10/2018,kutoka kwenye nguzo hadi kwenye nyumba hazizidi mita 10,lakini ofisi ya TANESCO Nyakato hainipi majibu ya kuridhisha na kubaki kunizungushwa tu.