Mteja halipi nguzo bali anachangia gharama ya nguzo.nguzo.hiyo inabaki kuwa ya uma kupitia TANESCO ili kuruhusu wateja wengine kufungiwaul umeme na hata ukarabati iliharibika ndio maana hakuna mteja aliyewahi kulipishwa nguzo ikioza au kuanguka.jiulize kama kila aliyelipia nguzo ingekuwa yake akigoma wengine wasifungiwe kwa nguzo hiyo tunafanyaje hapo.Kwanini mnatulipisha nguzo za umeme na bado zibaki kuwa Mali yenu??
Majibu mepesi sana, ktk vitu vinavyoumiza wananchi wote wanaotumia umeme HAUTOSHI KATIKA HIYO NAFASIMteja halipi nguzo bali anachangia gharama ya nguzo.nguzo.hiyo inabaki kuwa ya uma kupitia TANESCO ili kuruhusu wateja wengine kufungiwaul umeme na hata ukarabati iliharibika ndio maana hakuna mteja aliyewahi kulipishwa nguzo ikioza au kuanguka.jiulize kama kila aliyelipia nguzo ingekuwa yake akigoma wengine wasifungiwe kwa nguzo hiyo tunafanyaje hapo.
Hatujiandae kushindana na wateja wetu bali kuwasikiliza na kila kitu kina taratibu hili ni shirika la uma hivyo zipo taratibu zilizowazi kwa swala hili
Nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela eneo ni National. 0759658852Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tatizo
walikata saa 8 wamerudsha midaMkuu mzee wa kismati nilijibu vile ili kuwapa hamasa TANESCO ambao tunao humu ndani waweze kujibu concern yako.
By the way Happy Maulid day
FANYIA KAZI SUALA LETU. TANESCO ACHENI URASIMU.Mteja halipi nguzo bali anachangia gharama ya nguzo.nguzo.hiyo inabaki kuwa ya uma kupitia TANESCO ili kuruhusu wateja wengine kufungiwaul umeme na hata ukarabati iliharibika ndio maana hakuna mteja aliyewahi kulipishwa nguzo ikioza au kuanguka.jiulize kama kila aliyelipia nguzo ingekuwa yake akigoma wengine wasifungiwe kwa nguzo hiyo tunafanyaje hapo.
Gharama kwa miradi ya REA ni 27000 tu mingine ni 177000 vijijini na 321000 mijini kwa walioko ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya TANESCONaomba kujua bei mpya ya gharama za service line mkoa wa Mbeya maana nimesikia gharama zimeshuka kidogo za kuingiza umeme.
Hiyo 321 ndio toka zamani.Gharama kwa miradi ya REA ni 27000 tu mingine ni 177000 vijijini na 321000 mijini kwa walioko ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya TANESCO
Mkuu mzee wa kismati nilijibu vile ili kuwapa hamasa TANESCO ambao tunao humu ndani waweze kujibu concern yako.
By the way Happy Maulid day
Mimi. Niliihitaji ufafanuzi wa suala langu naona mnalipita ama lipo nje ya uwezo wenu?Tunashukuru sana je unahitaji ufafanuzi wa ziada mpendwa mteja
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetuTANESCOOOOOOOOOOOO, TANESCOOOOOOOO, nililalamika humu, nikaombwa no yangu ya mawasiliano ,nikawapa wakanijibu. Jibu lao LIMETEKELEZWA LEO. ahsanteni ! Sana chapeni kazi.
Mkokozi oyeeeee, TANESCO oyeeee mnastahili makofi matatu pa pa pa.
Vida= VodaNimenunua umeme , ni masaa mawili sijapata token zangu , kulikoni ? Vida 0755282346 sh 10000 luku 24219770880