hapo lipa deni kwanza la unit 10 then ndo ununueNina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.
Namba yangu ya simu ni 0753307374
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tatizo gani tenesco nimenunua umeme tangia jana ucku sijatumiwa token mpaka sasaiv namba ya mita ni 04221361696
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyojua mimi unapaswa kununua umeme kabla zile unit 10 kuisha vinginevyo huwa inasumbua sana, na kwa jinsi ya tatizo lako linavyoonesha sio kubwa ila utasumbuka sana
wadau nimelipia tanesco kias chote lakin wameniambia nikae mwezi ndo nitapata umeme
Sent using Jamii Forums mobile app