TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.
Namba yangu ya simu ni 0753307374
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo lipa deni kwanza la unit 10 then ndo ununue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo kigamboni, nimelipia gharama za kuwekewa umeme tangu mwaka jana mwezi wa 10 ila mpaka leo sijawekewa umeme na majibu ninayopewa siyaelewi. Naomba ufafanuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco UsaRiver wanawaonea sana watu wa Embaseni kila siku wanakata umeme ikifika usiku Kama sasa hivi hakuna umeme
 
TANESCO tuelezeni kama wakazi wa Mbezi hatustahili huduma yenu.

Kwa nini kila siku mnakata umeme, tena masaa marefu sana?

Siyo haki kabisa.
 
TANESCO TUNDUMA: Kuna tatizo gani lililo sababisha kutokubadilisha Transfomer eneo la Iboya, leo ni siku ya nane tokea iungue hakuna umeme. Shughuri zetu zimekwama tunaomba mtufungie Transfomer nyingime. Tumetoa taarifa na hakuna jitiada zozote za kutuwekea transfomer nyingine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua umeme kwa mara ya kwanza bado sijarudishiwa Unit 40 zangu naomba msaada wenu meter namba 54182472701 Kibamba hondogo
 
Huku Tanga mjini kila siku wanakata umeme, mchana haukuwepo umerudi wamekata tena.
Hata sasa hivi hakuna umeme!
 
Halafu hawatuelezi shida ipo wapi, vitu vinaharibika. Tanesco toeni taarifa tatizo lipo wapi umeme unakatika muda mrefu
 
Mi ndio sitaki kuwasikia kabisa hao jamaa, meter number ina tatizo huu mwezi wa tatu wameshindwa kutatua tatizo langu, hawa jamaa sio kabisa! Mpaka wamenilazimisha kuzoea giza sasa dah!
 
Jamani me mteja wenu, katika manispaa ya Iringa..natumizi yangu ya umeme ni chini ya unit 40 kwa mwezi hvyo ki mantiki nastahili kua kwenye tariff ya wateja wadogo. Nimeenda ofisi za tanesco mkoa mara 6 kuomba kuwekwa tariff ndogo wapi napigwa viswahili tu, mara tutakuja kukagua kwanza hadi mwaka umeisha sijahudumiwa, na wakati watu wanaojuana nao wanabadilishishwa at the same day. Huu upendeleo unachafua shirika! Hacheni uswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom