soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
hapo lipa deni kwanza la unit 10 then ndo ununueNina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.
Namba yangu ya simu ni 0753307374
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app