Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhaliTanesco Igunga kuna tatizo gani hakuna umeme toka Jana
Na hakuna taarifa yoyte
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuhuma hizi unauhakika nazo? Umeme ni swala la kitaalamu hivyo sio kumsemea muhusika taratibu zipo na ofisi zetu zupo wazi penda kuzitumia kupata ufafanuzi sahihiHiyo ni disaster. Kuna mtu aliweka umeme katumia nguzo 9. Mbaya zaidi wakamfanyia uhuni wanaweka zig zag ili nguzo ziwe nyingi kuliko umbali. Mwisho wa siku watu wengine wakija kujenga eneo husika zile nguzo ulizoweka ni mali ya tanesco siyo mali yako. Yaani utawaona majirani zako wanasherehekea kuweka umeme bila kutumia nguzo, na hakuna utakachoambulia.
Ingekuwa akili yangu, wateja wanaohitaji umeme wangewekewa hiyo huduma bure alafu baada ya mteja kupata hiyo huduma, akawa analipa deni la hizo gharama kidogo kidogo kwa mfumo ambao tanesco watakuwa wametengeneza. Mbona bodi ya mikopo inasomesha wanachuo na baadaye inarejesha fedha zake tena kwa riba?
Alimpa nani hiyo rushwa? Kwanini hakutoa taarifa? Tusijenge mazingira ya muzusha mambo badala yake tusaidie kuwabainish mnaona wanaomba rushwa sio kuchafua shirika zima tena kwa taarifa zakusikiaMteja ambaye eneo lake halihitaji nguzo, yaani yupo ndani ya mita 30. kinachohitajika ni mita, na waya tu mje kuunganisha, mnamwambia asubiri siku 30, kama siyo kutengeneza mazingira ya rushwa ni nini? Hiyo sheria ya kusema ndani ya siku 30 tafsiri yake siyo baada ya siku 30. Ni ndani ya siku 30, ikiwemo hata kesho yake mara baada ya kulipa. Sasa panafanyika delay techniques za makusudi. Kuna rafiki yangu aliambiwa eti mita zimeisha, imebaki moja tuu na inatakiwa iende sehemu nyingine. Jamaa kwa pressure akaingia kingi kwa kutoa rushwa ili hiyo mita ipelekwe kwake na ikawa hivyo. Japo hakuna ushahidi kama kweli mita imebaki moja.
Nyie ngojeni tu mimi nitawapa hela za moto
Tafadhali tupatie taarifa za hawo unawatuhumu badala ya kutuhumu shirika zima.usitishie kuwaanika bali waanike ili shirie ichukue mkondo wakeAcheni kujishebedua huku mitandaoni na kwenye TV kusema hakuna kutoa rushwa, mandumilakuwili nyie. AU mnataka tuanze kuwaanika tena kwa majina ili mtumbuliwe? Leo hii nimeongea na fundi wangu aliyenifanyia wiring tena ni miongoni mwa mafundi ambao ni recognized contractor na Tanesco. Alinipigia simu kuuliza kama nimewekewa umeme? Nikajibu hapana, bado hawajaja. Akaniambia you cant be serious. Maana kuna mtu amelipia umeme juzi, leo ameshawekewa.. Nilipomdadisi akaniambia ila inabidi kama una chochote kesho tukafanyie kazi, kesho kutwa utapata umeme.
Tunajua picha kamili inayochezwa... msidhani watanzania ni wajinga kiasi hicho. Huyo mteja aliyewekewa ndani ya siku 2 amefuata taratibu zipi ambazo mimi sijafuata? Haki ya nani natafuta namba ya waziri mkatumbuliwe mmoja baada ya mwingine. Naongea kwa uchungu kwa sababu ya ubaguzi wa dhati unaofanyika Tanesco, mabosi wote na maengineer wao lao moja.
Tanesco Nina nyumba nililipa January 2019 nyingine sikulipa ila control namba ninayo ya hii ambayo sijalipa nauliza he bado inakuwa active au mpaka nirudi kuihuisha? Nipo Mwanza na hii ya Kwanza mpaka Leo naambiwa nguzo hakuna nipe majibu yangu soonTafadhali tupatie taarifa za hawo unawatuhumu badala ya kutuhumu shirika zima.usitishie kuwaanika bali waanike ili shirie ichukue mkondo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco Nina nyumba nililipa January 2019 nyingine sikulipa ila control namba ninayo ya hii ambayo sijalipa nauliza he bado inakuwa active au mpaka nirudi kuihuisha? Nipo Mwanza na hii ya Kwanza mpaka Leo naambiwa nguzo hakuna nipe majibu yangu soon
Poahapana fika ofisi ya TANESCO kwa ajili ya kupata namba nyingine
InaanzA na 07Mita za juu ya nguzo zipo za aina tofauti tofauti nankila mita ina namna yake ya kutatua matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app