Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Sasa Kama mnaenda kukagua nyumbani kwake ndio Mwezi mzima? Ina maana mmeelemewa na mizigo? Tangazeni kazi watu waombe wawasaidie. Kazi ya kukagua nyumbani inahitaji tena kukidhi vigezo? Mko serious kabisa kusema kumkagua mteja ichukue Mwezi mzima hujaenda? Lazima Kuna shida mahala.Ndugu mpendwa mteja wetu sio kila anayeomba kubadilishiwa matumizi anabadilishiwa hapo hapo.kwanxa lazima akidhi vigezo pili tunaenda kumkagua nyumbani kwake.
Halafu wanasema umeme umezidi watumiaji Wachache. Tanesco wana Vichekesho Sana. Huko Songea Kuna maombi mengi sana ya watu kuunganishiwa umeme lakini mizinguo ni mingi. Nilishangaa sana kuona taarifa ile Kuwa umeme umejaa umekosa watumiaji.Naomba kufahamu ni hatua gani zinafuata ili wananchi wa eneo lenye zaidi ya km 1.5 la mraba wanapohitaji huduma ya umeme kwa pamoja namaanisha eneo litakalohotaji nguzo zaidi ya 20, maana kuna mtaa upo manispaa ya songea unaitwa mkuzo-maliasili ni mwaka wa tatu sasa watu hawaletewi umeme... !?? Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi Taneso au kila mtu napaswa kununua nguzo yake!?? Pia kuna baadhi ya watu wameamua kulipa kabisa hadi pesa za nguzo zao huko ili zoezi liharakishwe lakini hakuna kitu mpaka leo !?? Mnafeli wapi wakuu??
Naomba kujua utaratibu gani hapo unatumika hapo.. Na wanatakiwa wafanye nini hapo ili huduma iharakishwe??!.
Tanesco meter yangu inaanzia namba 43 ina remote jana umeme uliisha tukanunua tukaeka lakini shida meter haiiingizi umeme ndan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela siku lipa fomu nilipewa bure ,cha ajabu had Ieo hawajaja mwez imepita,nipo buhemba wilaya ya butiama Mara tz.Umelipa tarehe ngapi?
Wilaya gani mkuu
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiTanesco, BIHARAMULO, Nyakahura! Leo hatuna umeme siku ya Tatu na hatuna Maelezo! Tunaomba kurejeshewa huduma hii muhimu ktk uchumi wa taifa letu!
Tambue huku Kuna Mzani wa serikali, so endapo hakutakuwa na umeme kwa muda mrefu kutasababisha magari ambayo yanatumia barabara hii kwenda Rwanda, Burundi etc kuzidisha mizigo na kuharibu barabara zetu zaidi Kwan magari makubwa hayatapima Uzito
#CCM hoyeee
Maendeleo hayana vyama!
Nilijaza Siku hiyo hiyo nkawarudishia.Je umerudi fomu?
Eneo gani na namba yako ya simu tafadhaliTanesco wilaya ya ilala wanatufanyia uhuni
Tumeripoti toka j, mosi waya za umeme zimekatika ofisi kwangu,wakaja mara ya kwanza wakakata waya zote wakazikunja wakaondoka zao,
Tukaenda tena j, tatu kulalamika vipi mbona mmeenda jumla wakaja wakachungulia chungulia wakatoa sababu kuna miti inatakiwa ikatwe, tukakata miti yote haya sasa njooni wakaja jana jioni wakazuga zuga wakaondoka
Ni kama vile watu wanaotengeneza mazingira ya kutaka rushwa ndio waturudishie umeme, tunaona kabisa mazingira yanatengenezwa hivi ya kutukwamisha tusipate umeme bila rushwa..
Tabata old dampo magerageEneo gani na namba yako ya simu tafadhali