TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Naomba kufahamu ni hatua gani zinafuata ili wananchi wa eneo lenye zaidi ya km 1.5 la mraba wanapohitaji huduma ya umeme kwa pamoja namaanisha eneo litakalohotaji nguzo zaidi ya 20, maana kuna mtaa upo manispaa ya songea unaitwa mkuzo-maliasili ni mwaka wa tatu sasa watu hawaletewi umeme... !?? Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi Taneso au kila mtu napaswa kununua nguzo yake!?? Pia kuna baadhi ya watu wameamua kulipa kabisa hadi pesa za nguzo zao huko ili zoezi liharakishwe lakini hakuna kitu mpaka leo !?? Mnafeli wapi wakuu??

Naomba kujua utaratibu gani hapo unatumika hapo.. Na wanatakiwa wafanye nini hapo ili huduma iharakishwe??!.
Post hii hapa haijatolewa majibu
 
Wilaya ni Butiama,tarafa ya makongoro kata ya Buhemba kijiji cha Biatika kitongoji cha futakamba simu no,0763540060.Benjamin msong'o wihazi.ahsante.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
maeneo ya kiluvya, gogoni,hondogo, n.k hakuna umeme tangu SAA saba mchana Leo trh 18/5/2019, pia umeme wa maeneo hayo hauna nguvu ukilinganisha na maeneo mengine
 
Nipo mwenge maeneo ya TRA tangu j3 nimetoa taarifa kwenye frem yangu umeme unaonekana kwenye mita lakin ndani hauwaki,mkasema mnakuja mpaka leo hamjaja na sina umeme,namba ya kuripoti ni hii 3265,naomba mje kunirekebishia ili niendelee kufanya biashara
 
Nipo mwenge maeneo ya TRA tangu j3 nimetoa taarifa kwenye frem yangu umeme unaonekana kwenye mita lakin ndani hauwaki,mkasema mnakuja mpaka leo hamjaja na sina umeme,namba ya kuripoti ni hii 3265,naomba mje kunirekebishia ili niendelee kufanya biashara
 
Nna mita ya luku imeungua lkn wiki iliyopita nilinunua umeme wa elfu thelathini sita je naweza pata umeme wangu!! Au ndo imekula kwangu na je procedure za kubadilisha luku zipoje? Maana nimeambiwa ni process ndefu .
 
KWENU TANESCO....NADHANI NI JAMBO LA AIBU KUBWA NA FEDHEHA KWA SHIRIKA LENU KUWAWEKA WAKAZI WA KIMARA NA KAMA SIO DAR NZIMA KWENYE GIZA LEO JUMAPILI (19/5/2019) TOKA SAA KUMI NA MBILI JIONI MPAKA MUDA HUU,SAA NNE USIKU HUKU KUKIWA HAKUNA DALILI ZOZOTE ZA KUREJESHA UMEME.
NI AIBU KUBWA KWENU MAANA HAKUNA HATA TAARIFA YOYOTE ILE YA AWALI JUU YA KATIZO HILI LA UMEME,JE MNATAKA TUWAELEWE VIPI,MNA MAFUNDI KWELI NYIE,MNAJALI WATANZANIA KWELI NYIE,NINI FAIDA YA KUWA NA SHIRIKA LINALO WAKALISHA GIZANI WATEJA WAKE KWA MASAA MENGI NAMNA HII.....HEBU JITAFAKARINI AISEE.
 
Nna mita ya luku imeungua lkn wiki iliyopita nilinunua umeme wa elfu thelathini sita je naweza pata umeme wangu!! Au ndo imekula kwangu na je procedure za kubadilisha luku zipoje? Maana nimeambiwa ni process ndefu .
Ulishauingiza kwenye mita?
 
Unapaswa kufiki ofisi ya eneo lako ujaze fomu maalumu na huo umeme ulionunua
Naomba kuwa iwapo mwananchi ananunua nguzo ili awekewe umeme ile nguzo bado ni mali ya Tanesco je kuna utaratibu gani wa kumfidia huyu mwananchi hata kiasi kidogo kwani Tanesco itaendelea kuitumia ile nguzo kwa kuwaunganishia wateja wapya na kulipwa gharama?
 
Tanesco mimi ni mteja mwenye matumizi ya kawaida kabisa ila nikiweka umeme wa elfu kumi unakaa wiki mbili tu
nisaidieni nifanye nini
 
Nimelipia kufungiwa umeme toka january hadi leo nazungushwa tu sijui nini shida kituo cha HIMO MOSHI KILIMANJARO

Ac 991030719141
Received 990115294553
Kupitia EC100299949021
 
Back
Top Bottom