dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 853
Mbona wengine hatujibiwiTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wengine hatujibiwiTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Post hii hapa haijatolewa majibuNaomba kufahamu ni hatua gani zinafuata ili wananchi wa eneo lenye zaidi ya km 1.5 la mraba wanapohitaji huduma ya umeme kwa pamoja namaanisha eneo litakalohotaji nguzo zaidi ya 20, maana kuna mtaa upo manispaa ya songea unaitwa mkuzo-maliasili ni mwaka wa tatu sasa watu hawaletewi umeme... !?? Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi Taneso au kila mtu napaswa kununua nguzo yake!?? Pia kuna baadhi ya watu wameamua kulipa kabisa hadi pesa za nguzo zao huko ili zoezi liharakishwe lakini hakuna kitu mpaka leo !?? Mnafeli wapi wakuu??
Naomba kujua utaratibu gani hapo unatumika hapo.. Na wanatakiwa wafanye nini hapo ili huduma iharakishwe??!.
Wilaya ni Butiama,tarafa ya makongoro kata ya Buhemba kijiji cha Biatika kitongoji cha futakamba simu no,0763540060.Benjamin msong'o wihazi.ahsante.Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tafadhali naomba unijibu swali langu hapo juu kuhusu nguvu ndogo ya umeme kijiji cha Sawala eneo la Kalinga kwa sababu ya ukosefu wa transfomaTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Ulishauingiza kwenye mita?Nna mita ya luku imeungua lkn wiki iliyopita nilinunua umeme wa elfu thelathini sita je naweza pata umeme wangu!! Au ndo imekula kwangu na je procedure za kubadilisha luku zipoje? Maana nimeambiwa ni process ndefu .
Ndio niliuingiza ijumaa umeme ulikuwa mwingi sasa vitu vingi vimeungua taa, redio.tvUlishauingiza kwenye mita?
Naomba kuwa iwapo mwananchi ananunua nguzo ili awekewe umeme ile nguzo bado ni mali ya Tanesco je kuna utaratibu gani wa kumfidia huyu mwananchi hata kiasi kidogo kwani Tanesco itaendelea kuitumia ile nguzo kwa kuwaunganishia wateja wapya na kulipwa gharama?Unapaswa kufiki ofisi ya eneo lako ujaze fomu maalumu na huo umeme ulionunua
SawaUnapaswa kufiki ofisi ya eneo lako ujaze fomu maalumu na huo umeme ulionunua