Serkal inarekebisha miundombinu hasa katika kilindi hiki cha mvua ukiona waya umeanguka usiukanyage pia usisahau kilipia luku


State agent
 
Wakata umeme wako canada bana tusiongopeane hapa
 
Nini chanzo?

Nimemuuliza mtu hapa US nilipo, umeme umekatika mara ya mwisho lini hapa?

Akaniambia kulikuwa na kimbunga kilipita kama miaka mitatu au minne iliyopita. Hata kukumbuka ni shida.

Sababu ya umeme kukatika ilikuwa ni kimbunga kikubwa na mvua, a natural disaster.

Umeme ukikatika watoto wanaona this is a penomena kama kupatwa kwa jua.

Sisi tumekosea wapi?

I just copped this.

 
UTEKELEZAJI wa miradi ya usambazaji umeme inaenda kwa awamu hivyo ikiwa mbali na miundimbinu unashauriwa kusubiri awamu yako kukufikishia umeme
 

Umelipia nguzo?mbona wanatangaza nguzo hazilipiwi
 
Sisi wakazi wa Mwananchi, Nyakato, Buzuruga, Igoma tumepata adha kubwa tangu jana saa moja na nusu usiku mpaka leo saa moja na nusu kwa kukatika kwa umeme. Mpaka sasa hakuna sababu iliyotolewa juu ya kukatika kwa umeme huo ambao umechukua muda mrefu sana kuweza kurudi. Busara itumike kutueleza ni kitu gani kilichosababisha umeme kukatika muda mrefu hivyo na suluhisho linalotakiwa kuchukuliwa ili tatizo kama hilo lisitokee tena.
 
Hivi nnavyo andika umeme umekatika. Hii ni mara ya pili ndani ya siku ya leo.
 
Huu umeme umekaa kisiasa sana, natamani ningekua natumia solar. Huu ni upuuzi.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Habari tanesco naomba niungwe kwenye group la whatsap tanesco wilaya ya kahama nimetuma namba ya simu pm
 
Ni vigezo vip vinatakavyo mfanya mteja kuweza kujitoa kwenye service charge? baada tu ya kuwekewa umeme, na mda gani? Anaweza kujitoa pia mchakato wke kwa ujumla upoje?
 
Vishoka Tanesco Dar es salaam (Kituo husika nakihifadhi kwa sasa) wanasumbua wateja. Huwezi kumpata surveyor bila kupitia kwa kishoka. Control number bila kupitia kwa kishoka utaambiwa mtandao unasumbua, ukipitia kwa kishoka ni siku moja tu unapata. Kuunganishwa umeme kawaida inachukua 30 hadi 60, ukipitia kwa kishoka siku mbili tu. Hivi huu mchezo mtaundekeza hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…